Katiba ni ileile CCM ile ile inaongozwa na wale wale.Mimi sina shaka yoyote moyoni mwangu sasa hivi, Tanzania haitakuwa ile ile tuliyoifahamu miaka yote.
Walazimishe, au waache, hiyo ni shauri yao, lakini wamekwishatuvusha sasa, hatupo tena kule kwa zamani.
Bro unaichukuliaje Tanzania? Yaani DP aache bandari inayohudumia nchi kadhaa aende Msumbiji? Pia aache iliyo imara kisiasa aende Msumbiji kwenye magaidi? Hakuna mwekezaji asiyetamani kuja kuwekeza Tanzania ambapo kwa idadi tu ya watu waliopo ana uhakika wa soko. Na DP World sio mjinga kushindwa kugundua kelele zinazopigwa ni za watu vilaza wasioelewa mambo ya uwekezaji wala biashara.DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
Hili la Bandari litapita tujikite kwenye Katiba mpya na maridhiano.Ndugu hili la Bandari unaona lina uhai kweli?
Kama nimeelewa maana yako, subiri kwa makini na utamwona kondoo hasa ni yupi kati ya hizo pande mbili, wananchi na hao unaodhani wewe ni wachungaji.Mchungaji! Anachunga nini??
Angalia usalama wa nchi kuliko faida unayotaka,ulafi ni dhambi.Bro unaichukuliaje Tanzania? Yaani DP aache bandari inayohudumia nchi kadhaa aende Msumbiji? Pia aache iliyo imara kisiasa aende Msumbiji kwenye magaidi? Hakuna mwekezaji asiyetamani kuja kuwekeza Tanzania ambapo kwa idadi tu ya watu waliopo ana uhakika wa soko. Na DP World sio mjinga kushindwa kugundua kelele zinazopigwa ni za watu vilaza wasioelewa mambo ya uwekezaji wala biashara.
Mi pia, sibishani tena na wewe fuata mkumbo!Kwa mtu bwege kama wewe sina muda wa kupoteza tena.
Nilishajibishana nawe huko siku chache zilizopita, na kukudharau moja kwa moja.
Huna mchango wowote tena unaoweza kuongeza thamani katika mjadala wa jambo hili.
Umebaki kubweka tu, kama kichaa!
Pumbaaav!!Sasa funga mdomo.
Man mbona una hasira kwani DP ni ya Kwako?
Katiba mpya ishawekwa kiporo na Samia. Lakini kama CHADEMA hawajawekwa mfukoni, kutokuwepo kwa katiba hiyo mpya ndiyo nyenzo muhimu ya mapambano 2024/25; ya kuitupilia mbali CCM.Hili la Bandari litapita tujikite kwenye Katiba mpya na maridhiano.
Katiba mpya ndio msingi ndio sheria mama ndio itakayozuia uchafu wote.
Baba tatizo nini? Kwani ni kosa kutaka kujua anachokichunga?Kama nimeelewa maana yako, subiri kwa makini na utamwona kondoo hasa ni yupi kati ya hizo pande mbili, wananchi na hao unaodhani wewe ni wachungaji.
Watu wengine huwa mnapenda kujidhalilisha sana kuonyesha kutokuwa na akli kabisa vichwani mwenu.
Usinipotezee muda mkuu; tumalizane hapa hapa.Baba tatizo nini? Kwani ni kosa kutaka kujua anachokichunga?
Tatizo kuna watu wameshaachukua 20% kutoka kwa dp world unadhni ,hela yake itarudi kwa namna ganiDP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
Tukienda kwenye uchaguzi na Katiba hii hii CCM wanaenda kuiba Uchaguzi.Katiba mpya ishawekwa kiporo na Samia. Lakini kama CHADEMA hawajawekwa mfukoni, kutokuwepo kwa katiba hiyo mpya ndiyo nyenzo muhimu ya mapambano 2024/25; ya kuitupilia mbali CCM.
Uji wa moto uliopo mbele yake sasa hivi ni hiyo Dubai, italazimu aunywe hivyo hivyo
Shetani hajawahi kuwa na AibuDP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
π π πShetani hajawahi kuwa na Aibu
Kama hao wakubwa wakisign huo mkataba dpMwambie afungue page zake watu wacomment...ndio utaona hizi kelele ni geresha au zina impact..
Hao armed watatoka wapi? Akina PizoghzinTukienda kwenye uchaguzi na Katiba hii hii CCM wanaenda kuiba Uchaguzi.
Solution kwa sasa labda armed Rebelion na si vingine.
Wanasema waarabu hawajui kishwahili sasa hizo comment hazimtishiMwambie afungue page zake watu wacomment...ndio utaona hizi kelele ni geresha au zina impact..
Hapana na sidhani kama watawekeza itakuwa kama wale Wa Bagamoyo lazima watakacha, upuuzi umezidi.DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba