Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

Well explored
 
Tukienda kwenye uchaguzi na Katiba hii hii CCM wanaenda kuiba Uchaguzi.

Solution kwa sasa labda armed Rebelion na si vingine.
Watakuwa (CCM) wenyewe wamechagua njia hiyo unayoisema wewe.

Hapo lawama haiwezi kumwangukia mtu mwingine yeyote.
 
Shida yote ilianzia hapa 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 , najuta kabisa kuwasanua hawa jamaa

 
Yangekuwa maandamano eeeh.
Sasa kelele za Twitter ambazo hazina msaada wowote ule
 
Siku maandamano yameitishiwa nilitegemea kuwaona kina Heche, Pambalu, Martin, Mbowe, Maria ilanhawakuonekana hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…