Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kusema ukweli hizi nimeziangalia miaka ya late 2000s
 
Mid to late 90’s and early 2000’s tuliokuwa tunasubiri ITV kabla na baada ya taarifa ya habari ucheshi (living single, family matters, fresh prince, martin, cosby, ken & kel.. hawa jamaa!!😅) then saa3 kamili ilikuwa hivi;
J3-The A Team
J4-Pointman
J5-Timetrax
Alh-Robocop
Ij-Renegade
Jmos-WWW
J2-Superman na tausi hahahaa
 
Back
Top Bottom