Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Luck Seven
Home Alone
Anaconda
Jack chane movies
Kungfu Panda
The bodyguard
Home Alone
Anaconda
Jack chane movies
Kungfu Panda
The bodyguard
Gods must be crazy
Hii nai-download hapa weekend hii niitizame.Army of Darkness
Hiii movie hata Leo inaendelea kua bonge la Movie .
Ni movie Kati ya Jeshi la Wafu na Jeshi la walio hai !!
Wewe utakuwa umekulia movie za ShumiletaKwakweli sielew kitu
Mkuu avatar naona umemuweka jamaa Ramon Kota kubwa la maadui kwenye Delta Force II ya Chuck NorrisThe Ghost and the Darkness
Sasa hii ukipata ya Commando LufufuHard Way "I know where you're, surrender, surrender " mniga kufa niliumia sanaView attachment 3433397
Mkuu nyumbani kwetu wote hakuna anayependa kitu inaitwa muvi, sjui filamu na aina hiyo,Wewe utakuwa umekulia movie za Shumileta
ya lufufu tamu kuliko OG ya HollywoodSasa hii ukipata ya Commando Lufufu
Film za sikuhizi national mbaya siyo nzuri yani zinanishinda kuziangalia, Mwisho wa siku naangalia Filamu za zamani mfano ARNOLD, THE DELTA FORCE NK1. Escape from sobibor
2. War bus
3. Motol combat
Nyingine nakumbuka tu waigizaji kama
Billy Blank
CYncia
Mituni Chakirabot
Anatumwa akachukue kitabu vipi vitatu anaambiwa atamake maneno fulani kabla hajachukua. Kufika ktk vitabu kasahau yake maneno akajitungia maneno yake mengine. Akachukua kitabu Cha kwanza kikamzingua, Cha pili the same Cha tatu kikatoka ila alishakosea maneno. So kile kitabu kilikuwankinazuia Wafu wasiamke hivyo Wafu wote wakaamka kupambana na jamaa...jamaa akasepa akapelela msala kijijiniIkoje hiyo mzee
Among the yhe first movie niggas kutokufa akiwa leading actor ni ya LL cool J deep blue ile ya papa na blade na nyingine chache sanaNiga lazima afe kwakua wazungu wabaguzi sana movie zao zote mtu mweusi lazima afe ndio maana hata lead/stering hawi mtu mweusi
Dolph utakuwa unamaanisha Red scorpion au ile ya Yakuza na Bradon LeeIle ya dolp Lundgren nimesahau jina
Spl one
Hard Target
Tc 2000 bill blanksNam angels, in the line of duty, war bus, striker, black sheep affair, tc 2000, souldier boyz.