Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Yaani kipindi hicho nilikuwa naangalia movies na Enjoy mno ,
Lakin now days Spendi tena movies baada kujua computer naona ni fiction , Tu uwongo WA kwenye green screen or blue screen .
Ukipenda ku enjoy kitu usjue undani wake ..na Ukita kufaidi mwanamke na ufurahie usjue ali to mbwer na nani .
at least now days inavutia na movies visa vya Kweli kama.
Escape from sobibo
 
Escape from sobiboM

✓Tom na jerry
✓kilikuu(mchawi karabaa)
Kilikuu tena na vikaragosi daah zaman nilikuwa naenjoy nikitazama movies sahiv sijui hata nimekuwaj labda ni ile kujua uhalisia wa movie kuwa ni maigizo
 
No
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
No Retreat No Surrender
War Bus
Movies za Jackie Chan
Movies za Cynthia Rothrock
Movies za Chuck Norris
Movies za Jean Claude Van Damme
 
Kuna wajomba walikuwa wanaleta tv kuonyesha kijijini kwetu siku ya soko bahati nzuri wakawa wanailaza kwetu(kwa ajili ya usalama) baada ya kutoka sokoni kwahiyo sisi kama host tukawa tunapata ofa ya mkanda mmoja usiku. Moja ya movie nalokumbuka lilikuwa la makomandoo watatu wanaenda kwenye mission moja bahati mbaya mmoja akang'atwa na mamba, dah bonge la movie sijawahi kulibahatisha tena toka miaka ya 2000. Sikumbuki hata linaitwaje ningelitafuta nikumbushie
 
Back
Top Bottom