Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

✓Tom na jerry
✓kilikuu(mchawi karabaa)

1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
Mr Born
 
Hiyo The bodyguard from Beijing naipenda mpk kesho haichoshi, ila why Jet Li hajamtafuna mke wa boss wake 😥😹😹
Sijapentraaa kabisa, kila nikijitahidi kuirudia nione labda kuna sehemu kagusa hata shavu holaaa..!! 😹

Sema yule jamaa alimtandika Jet Li ila ndo hivyo staring hauwawi..!!
Daahh Mimi mwenyewe sikupenda Kwa kweli 🤣

Jet LI alikuwa anajifanya ni mlokole tena yule Aliye kutana na mungu kabisa Alinikera sana , movie zake nyingi anajifanyaga Yuko serious hana time na mbunye 😁

Alipigwa kinoma
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
Kuna chuma ya kuitwa Eastern condors
 
Daahh Mimi mwenyewe sikupenda Kwa kweli 🤣

Jet LI alikuwa anajifanya ni mlokole tena yule Aliye kutana na mungu kabisa Alinikera sana , movie zake nyingi anajifanyaga Yuko serious hana time na mbunye 😁

Alipigwa kinoma
Katukosea sana 😹
Yule jamaa alitembeza mkono sio wa kitoto..!!

Kipindi cha holiday mimi nashinda naangalia movie za action tu..!!
 
Hiyo list iko sawa kabisa. Kwa wale waliokiwa wanatazama TV za kibongo early to mid 2000s:

Terminator 2: Judgement Day imerudiwa sana pale Channel 5(EATV), nakumbuka ilikuwa inaoneshwa jumapili.

Channel 10 walikuwa wanaonesha ile “End of the Days" ya Schwarzenegger jumapili pia.

Chuck Norris nimemtazama sana pia
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
In the line of duty
 
Back
Top Bottom