Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kuna ile movie ilikuwa na vitoto vidogo vidogo vinapiga balaa
Ilikuwa na nyimbo nyimbo hivi
Nimeisahau jina,
Anayekumbuka anitajie.
Niipenda sana.

Btw
1- 5 ilikuwa noma sana
Nakumbuka wimbo wa Nelia.
Kuna mdau kaitaja, ni lucky seven au nakosea ya kichina
 
Umeona eeh
Hiyo The bodyguard from Beijing naipenda mpk kesho haichoshi, ila why Jet Li hajamtafuna mke wa boss wake 😥😹😹
Sijapentraaa kabisa, kila nikijitahidi kuirudia nione labda kuna sehemu kagusa hata shavu holaaa..!! 😹

Sema yule jamaa alimtandika Jet Li ila ndo hivyo staring hauwawi..!!
John alizingua Sana . I wish angekuwa Alexander Lou wa champion Ninja😁😁
 
Back
Top Bottom