Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

Vibanda umiza havikuwepo.
Weeee ndio kipindi Mkandala Lufufu Mkololomambija ndio anatupiga na mijegeje hapo wametaja za kizungu tu humo hujamkuta Govinda na Raja yake mtoto bubu, hujakutana na Macho mzungu na kina Dharmendra kitu Cha Loha, kina Sunil Shet, Seleman Khan, aaa weeee....
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
Best of the rest/paranawe (Marc Dagascos)
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    19.6 KB · Views: 21
  • Gangaa_Jamunaa_Saraswati.jpg
    Gangaa_Jamunaa_Saraswati.jpg
    68 KB · Views: 26
  • 14526e4c4a59e2035b3cf20afaf75399_1754419391532.mp4
    2.1 MB
Kuna wajomba walikuwa wanaleta tv kuonyesha kijijini kwetu siku ya soko bahati nzuri wakawa wanailaza kwetu(kwa ajili ya usalama) baada ya kutoka sokoni kwahiyo sisi kama host tukawa tunapata ofa ya mkanda mmoja usiku. Moja ya movie nalokumbuka lilikuwa la makomandoo watatu wanaenda kwenye mission moja bahati mbaya mmoja akang'atwa na mamba, dah bonge la movie sijawahi kulibahatisha tena toka miaka ya 2000. Sikumbuki hata linaitwaje ningelitafuta nikumbushie
The hard way hiyo, kama sikosei.
 
1: rambo (1, 2, 3)

2: predator

3: commando

4: sarafina

5: nelia

6: blood sport

7: enter the dragon

8: drunken master

9: rocky

10: tai chi master

11: lion king

12: titanic

13: anaconda

14: coming to america

15: blade

16: friday

17: scarface

18: terminator (1, 2)

19: deadly prey (komando kipensi)

20: godfather

Ongezea nyingine mwana ex-kibanda umiza😁
Namba 11 umeua haapo

Those childish moments
 
Back
Top Bottom