Isaka James
Member
- Jan 17, 2023
- 7
- 11
Mimi sijawahi kumuona genius ambaye hajafanikiwa kimaisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu hapa nimewekaWeka hapa huo utafiti wa hiyo Bahati tuone.
Mfano umezaliwa ukakuta tayari baba yako ni raisi wa nchi😅kweli kabisa, kuna vigezo vingi kwahiyo unaweza ukawa na akili na usitajirike
na bahati ina mchango mkubwa sana, huwa naandika humu
sema sasa watu wengi hawaelewi maana ya bahati
bahati ni zile nafasi unazopata bila juhudi/ujuzi wako binafsi
Aya nenda kalipe Ada za watoto kwa kutumia hiyo roho yakeMafanikio yako rohoni, mwili unathibitisha tu
Hivi unajua maana ya Utafiti? hiyo ndio result ya utafiti? sample iko wapi? idadi ya watu waliofanyiwa huo utafiti iko wapi? kwa location ipi? kumbe umecopy tu hapo ukaanzisha na uzi?
Wapumzisheni vijana wa kiroho asee😁Aya nenda kalipe Ada za watoto kwa kutumia hiyo roho yake
Acha Maneno kijana wa yesu 🤣🤣🤣Hivi unajua maana ya Utafiti? hiyo ndio result ya utafiti? sample iko wapi? idadi ya watu waliofanyiwa huo utafiti iko wapi? kwa location ipi? kumbe umecopy tu hapo ukaanzisha na uzi?
"Better to be born lucky than gifted"Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwa nini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
MAFANIKIO = Akili X Busara X Nguvu za kiroho X nafasi (fursa).Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwa nini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
"Better to be born lucky than gifted"Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwa nini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Very SmartMafanikio yako rohoni, mwili unathibitisha tu