Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Si tajiri kwa sababu utajiri haujapotea njia na kujileta kwangu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa Bakhressa aliweka juhudi gani mpaka azaliwe na billionaire?Bahati haina nafasi, kila kitu hutokea kwa sababu maalum, mfano ukiokota hela sio bahati ila unastahili kwasababu ulipita njiani na ukaangaza macho ukaiona
hao wakina BIll gate ndyo usiwatolee mifano kabisa, utajiri au pesa zao hazijaja kwa bahati mbaya bali juhudi na mipango yao binafsi.
Utajiri ni siri na kudhamiria unawezakuwa unaakili ila huna siri,ninaposema siri ni wenye siri ndo watanielewaHii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Hapo mtoto wa Bakhressa sio kwamba anba bahati, ni juhudu za baba yake ndizo zimefanya azaliwe na akute tayari mambo ni mazuri.Mtoto wa Bakhressa aliweka juhudi gani mpaka azaliwe na billionaire?
Bakhressa anaweza zaa kilaza/mbumbumbu ambaye hata jina lake kusoma na kuandika atashindwa wala kuhesabu atashindwa kujua lakini straight on ni billionaire, bila juhudi.
Kwa upande mwingine. Mtoto wa muuza viazi anayekosa dawa ya kutibu ugonjwa wa macho yaka-develop upofu taratibu huku yeye na familia wakiona baadae akawa kipofu anakuwa hajaweka juhudi gani huyo mtoto?
Hii ndio point ya msingi mengine ni maelezo yalikosa muelekeoKama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Siri km unavyoficha Uchi wako ila kuna wakubwa wanakwambia 'mficha Uchi hazai' hii maana yake nini? Maana yake ni kwamba hao wenye Siri hawana Siri ila wana watu wao wanaowafichia Siri na kuwavumilia madhaifu yao kuna matajiri wana wasiri wao ambao wakivujisha Siri zao tu hawavushi Mwezi wanaangukia pua, yule wa kujiita Manguruwe ni mmoja wapo alianzisha Ponzi Scheme ya Vanilla akiwa na Siri zake nyuma ya Pazia kumbe ni mwizi wa viwanja ila unapofanya kinyume na wasiri wako na wakaziweka Siri zako hadharani umekwisha, wale walioshikwa kwa kesi za uuzaji wa dawa za kulevya walifanya kwa Siri wakiwa na wasiri wao na baadhi yao wamekua wakishikwa kwa sababu wasiri wamekua wakitoa hizo siri, sasa unaelewa kwamba utajiri ni siri za wasiri sio siri za tajiri, tajiri hana siri.Utajiri ni siri na kudhamiria unawezakuwa unaakili ila huna siri,ninaposema siri ni wenye siri ndo watanielewa
Unaweza kua na akili sana lakini sio mbunifu,huna mtaji,huna bahati,or watu wanaokuzunguka kila unachoanzisha wanakuharibiaHii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
hakuna siri ya watu wawiliSiri km unavyoficha Uchi wako ila kuna wakubwa wanakwambia 'mficha Uchi hazai' hii maana yake nini? Maana yake ni kwamba hao wenye Siri hawana Siri ila wana watu wao wanaowafichia Siri na kuwavumilia madhaifu yao kuna matajiri wana wasiri wao ambao wakivujisha Siri zao tu hawavushi Mwezi wanaangukia pua, yule wa kujiita Manguruwe ni mmoja wapo alianzisha Ponzi Scheme ya Vanilla akiwa na Siri zake nyuma ya Pazia kumbe ni mwizi wa viwanja ila unapofanya kinyume na wasiri wako na wakaziweka Siri zako hadharani umekwisha, wale walioshikwa kwa kesi za uuzaji wa dawa za kulevya walifanya kwa Siri wakiwa na wasiri wao na baadhi yao wamekua wakishikwa kwa sababu wasiri wamekua wakitoa hizo siri, sasa unaelewa kwamba utajiri ni siri za wasiri sio siri za tajiri, tajiri hana siri.
Wasiri ni wakina nani? Wasiri ni wale wanaokufichia mbinu zako ovu za kuusaka utajiri wako, matajiri wote unaowajua wana wasiri wao ambao wanayajua madudu yao yote kuanzia ngazi za kiutawala yaan Serikali mpaka ngazi za kisheria wote wanayafahamu mambo hayo ya sirini ila kwa sababu wanapokea kitu kidogo ku-dilute hio Siri waliyonayo hao matajiri basi wanawaacha waendelee na usiri wao. Mifano ni mingi sana ila haina haja ya kuiweka hapa
Na hakuna Siri kwa tajiri yaan tajiri hana Siri, pigia mstari msipumbazwe na maneno ya kuokoteza matajiri hawana siri wana Wasiri na hao wasiri ndio wanaowatunzia Siri, tajiri hana Siri bali anao watu wanaomtunzia Sirihakuna siri ya watu wawili
Good. Kwahiyo mtoto wa Bakhressa yeye kama yeye hajaweka effort ya aina yeyote kuzaliwa pale si ndio?Hapo mtoto wa Bakhressa sio kwamba anba bahati, ni juhudu za baba yake ndizo zimefanya azaliwe na akute tayari mambo ni mazuri.
kwa upande wa mtoto wa muuza viazi, hayo ni majanga ambayo yanaweza kumkuta mtu yoyote, hata mtoto wa tajiri anaweza kupata matatizo na pesa zao zikashindwa kutatua tatizo.
Vicente van ghog alikufa hata hela ya kula hana ila picha zake ni moja ya picha za gharama duniani kuwahi kuuzwaHata mimi naungana na wewe. Kama umesoma, unasema una akili ila umeshindwa kutatua changamoto zinazokukabili hata kula ni tabu, halafu unamchukulia poa kijana ambaye hakusoma lakini ameweza kutatua changamoto zake za kifedha na anaishi vizuri, basi hiyo akili mimi siiioni hapo.
Mawazo ya kimaskini haya.Yes.
Mtu aliyefanikiwa rohoni huyo ndiye kafanikiwa.
Kuwa na akili ni kipimo cha utajiri?
kweli kabisa, kuna vigezo vingi kwahiyo unaweza ukawa na akili na usitajirike
na bahati ina mchango mkubwa sana, huwa naandika humu
sema sasa watu wengi hawaelewi maana ya bahati
bahati ni zile nafasi unazopata bila juhudi/ujuzi wako binafsi
Isack newton alikuwa na utajiri Gani?, Tesla etcHii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Binafsi sidhani mafanikio ni kuwa tajiri, bali mafanikio ni kutimiza matamanio au matakwa yako binafsi. Wenda nisiwe mjinga kwa maana utajiri haupo kwenye matamanio yangu.