Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama yupo na ana huo uwezo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe.Unataka Yesu mwenyewe akuthibitishie uwepo wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yupo na ana huo uwezo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe.Unataka Yesu mwenyewe akuthibitishie uwepo wake?
Hapa umemaliza kila kitu,...🙌🙏Hali hizi mara nyingi huambatana na uwezo wa mtu kuzitumia nafasi hizo kwa njia sahihi.
Duniani hakuna bahati.Bahati haina nafasi, kila kitu hutokea kwa sababu maalum, mfano ukiokota hela sio bahati ila unastahili kwasababu ulipita njiani na ukaangaza macho ukaiona
hao wakina BIll gate ndyo usiwatolee mifano kabisa, utajiri au pesa zao hazijaja kwa bahati mbaya bali juhudi na mipango yao binafsi.
Mafanikio yako rohoni, mwili unathibitisha tu
Ni ujinga huwezi Lima kwa kutegemea mvua.Chukulia umelima mahindi huo mwaka ukapata mazao mengi halafu wenzio wakapigwa na ukame bei ikpaa juu ukapiga hela.
Umelima mahindi, huo mwaka mvua zakanyesha mazao yakanawiri kila kona, bei ikashuka ukauza kwa hasara.Je hayo matukio yana ashiria bahati au akuli ?
Kama yupo na ana huo uwezo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe.
Yes, pesa ipo kila mahali na kila unayemwona Ni pesa hiyo hivyo Basi unatakiwa kuweka vipendwa vitakavyosababisha pesa ikutafute.Unafanyaje pesa ikutafute?
Ujafanikiwa au hujafanikiwa?Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa.
Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa, wakati, na hata mazingira ya kijamii.
Kama unajiuliza kwanini haujafanikiwa kuwa tajiri licha ya kuwa na akili, inaweza kuwa kwamba hujapata nafasi nzuri au umekosa sehemu muhimu ya bahati inayohitajika kufanikiwa.
Je, unakubaliana kuwa bahati na mazingira vina nafasi kubwa kwenye mafanikio?
Sahihi kabisaDuniani hakuna bahati.
Utafiti ni mchakato wa kukusanya, kuchambua, na kutafsiri taarifaHivi unajua maana ya Utafiti? hiyo ndio result ya utafiti? sample iko wapi? idadi ya watu waliofanyiwa huo utafiti iko wapi? kwa location ipi? kumbe umecopy tu hapo ukaanzisha na uzi?
Kipofu huyu na makelele yake utadhani anaona kweli! HahahaaKama yupo na ana huo uwezo ajitokeze mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe.
Naam.Nadhani labda neno sahihi kwa muktadha wa hoja yangu ni "hujafanikiwa," na si "ujafanikiwa."
Hapana, mafanikio siyo lazima kuwa tajiri wa kifedha. Ingawa utajiri unaweza kuwa kipimo cha mafanikio kwa wengi, kila mtu ana mtazamo wake kuhusu mafanikio.Kwani kufanikiwa ni lazima kuwa tajiri?
Mfano, umesema kama mtu ambaye alikusudia kuwa mwalimu na alitimiza lengo lake la kuelimisha jamii, hata kama hajapata utajiri, amefanikiwa kwa kutimiza malengo yake na kuwa na athari chanya kwa wengine.Kama mtu kwao wana historia ya usomi, tangu mdogo ametaka kuwa mwalimu atakayeelimisha jamii, hilo ndilo lengo lake kubwa kuliko hata utajiri, akiweza kufundisha wagu wengi sana akaelimisha jamii bila ya kuwa tajiri, huyo kafanikiwa au hajafanikiwa?
Kuzaliwa kwenyewe ni bahati, hakuna mtu anayezaliwa kwa kupanga.Hapana, mafanikio siyo lazima kuwa tajiri wa kifedha. Ingawa utajiri unaweza kuwa kipimo cha mafanikio kwa wengi, kila mtu ana mtazamo wake kuhusu mafanikio.
Mafanikio yanaweza kumaanisha kutimiza malengo yako, na sio lazima malengo hayo yawe ya kifedha.
Mfano, umesema kama mtu ambaye alikusudia kuwa mwalimu na alitimiza lengo lake la kuelimisha jamii, hata kama hajapata utajiri, amefanikiwa kwa kutimiza malengo yake na kuwa na athari chanya kwa wengine.
kama vile watu maarufu kama Einstein au Tesla walivyofanikiwa kwa kutimiza malengo yao na kuwa na athari kubwa kwa dunia, hata kama hawakuwa tajiri kwa kiwango cha kifedha.
hoja yangu mimi Mafanikio na Bahati
Mafanikio ya kifedha mara nyingi yanategemea zaidi bahati na fursa. Hata watu wenye kipaji na juhudi wanahitaji nafasi nzuri au matukio ya bahati ili kufanikiwa. Kwa hiyo, bahati na fursa zina mchango mkubwa katika mafanikio hayo.
"If you’re so smart, why aren’t you rich? Turns out it’s just chance."
Na wewe umeamini hayo? Bahati ni imani tu.Utafiti ni mchakato wa kukusanya, kuchambua, na kutafsiri taarifa
Kwanza kabisa, utafiti huu unategemea simulation uliofanywa na Alessandro Pluchino na wenzake, unaochunguza jinsi bahati inavyoathiri wealth distribution
Kwa undani zaidi, utafiti huu unaonyesha kuwa watu wenye vipaji vya wastani mara nyingi wanaweza kufanikiwa sana ikiwa bahati inawasaidia.
Matokeo haya yametokana na mchakato wa kisayansi wa kuiga mifumo ya kijamii, na si tafiti za moja kwa moja kwa watu wa kweli, bali ni mbinu iliyothibitisha dhana za kitabia na kiuchumi.
Kwa maelezo yote unayoyahitaji, nimeambatanisha vyanzo vyote vya utafiti:
1 Utafiti wa msingi unapatikana kwenye jukwaa la kitaaluma la arXiv:
Soma Utafiti Kamili Hapa
View attachment 3167614
[1802.07068] Talent vs Luck: the role of randomness in success and failure
2 Muhtasari wa kitaalamu wa MIT Technology Review ambao unatoa maelezo ya jinsi bahati inaweza kuwa kiini cha mafanikio:
Soma Makala ya MIT Technology Review Hapa
View attachment 3167640
If you’re so smart, why aren’t you rich? Turns out it’s just chance.
3 Uchambuzi wa kina kutoka kwa Scientific American ambao unachambua nafasi ya bahati kwenye maisha:
Soma Makala ya Scientific American Hapa
View attachment 3167642
The Role of Luck in Life Success Is Far Greater Than We Realized
Hivyo, maswali yako yote kuhusu idadi ya sampuli, maeneo, na njia za uchambuzi yamejibiwa ndani ya rasilimali hizi. Nakualika usome ili kupata uelewa wa kina. 😊
Kama anatunziwa siri na wengine hiyo siyo siriNa hakuna Siri kwa tajiri yaan tajiri hana Siri, pigia mstari msipumbazwe na maneno ya kuokoteza matajiri hawana siri wana Wasiri na hao wasiri ndio wanaowatunzia Siri, tajiri hana Siri bali anao watu wanaomtunzia Siri