Kwa hili nakubaliana na wewe 100% hata neno la Mungu kuna mengi tu hayajawekwa wazi actually tumepewa 20% pekee ya kinachotakiwa ila sisi ndio tunajifanya wafia imani kuliko wazungu waliotuficha hiyo 80% nyingineUnajua kwenye bible imeandikwa " Kumcha Mungu ndio chanzo cha maarifa" yani knowledge .And the true knowledge is the one that help you to acquire, maintain and protect power.Mind u wazungu sio wajinga kiasi hicho wakwambie kila kitu kuhusu Mungu aliye wapa maarifa yaliyo wafanya wawe na nguvu za kuutawala ulimwengu. Wakupe siri zao ili na wewe uwe kama wao.Unacho kijua kuhusu Mungu ni kile kilicho achiwa na kukusudiwa kijulikana kwa wale tu wanao stahili kupotoshwa.But kiukweli kabisa u don't no nothing about the creator
Mkuu siku zote JF ukiweka mada inayokinzana na imani za watu unaonekana kama shetani flani hivi so wafia dini lazima waje na matusi kejeli n.k ila inatakiwa uwe na busara kubwa ili uvumilie so hii comment kma hii haipaswi kutolewa na mtoa mada hata kma hawakubaliani na mada yako.... Najua inaudhi sana ila samehe tu maana unaweza ishia kutukana jukwaa zima.....Mavi yako
yap labda kama huelewi nini maana ya Utafiti..!! kwa sisi tuliofanya reserch at university level tunajua mtu akisema kafanya utafiti tunataka aje na nondo za ushawishi.!!Nyie vilaza mlitaka ni publish thethis yangu at Jf ?
Mwambie jamaa hili ni jukwaaa huru sasa unapoleta kitu asidhani yupo peke yake. alafu hana busara huyu jamaaMkuu siku zote JF ukiweka mada inayokinzana na imani za watu unaonekana kama shetani flani hivi so wafia dini lazima waje na matusi kejeli n.k ila inatakiwa uwe na busara kubwa ili uvumilie so hii comment kma hii haipaswi kutolewa na mtoa mada hata kma hawakubaliani na mada yako.... Najua inaudhi sana ila samehe tu maana unaweza ishia kutukana jukwaa zima.....
Mtazamo tu
University utakuwa ulienda kukariri wewe.. For u to understand what am talkin about, ur mind have to be free like Nelson Mandela....yap labda kama huelewi nini maana ya Utafiti..!! kwa sisi tuliofanya reserch at university level tunajua mtu akisema kafanya utafiti tunataka aje na nondo za ushawishi.!!
wewe bwege kweli et kwa miaka kadhaa alafu unatuletea upuuzi, hapo ni sawa na kujitekenya na kucheka mwenyew!! hiyo ya kwako sema kwa dodoso nilizopata na sio kwa utafiti. Mimi na wewe nani kilaza?
According to Nabii TitoFREEMASONS (wajenzi huru) ikiwa umemaanisha hivyo sina tatizo ni kweli, ila pale unaposema FREEMASONS iliyojaa maswala ya kiimani si kweli hawa jamaa ni mbogo hawana mpango mzuri hata kidogo ila wanataka kujionesha wema machoni pa watu ili watu wajumuike nao.
huwezi tambua ubaya wao bila kujiunga nao mleta uzi jiunge nao then utupe feedback yatakayokukuta, naamin utatambua ubaya wao na utajuta
hapo umejifanyia citation mwenyewe kweli kuna mfanano wa wew na huyo nabii uliyemtaja utafiti wako bado sana hiyo post yako ni kama literature review sasa nenda kwenye field (masonic lodge) kakusanye data utuletee kama ulikuwa kweli unataka kuipresent kazi yako uliyoifanyia utafitiAccording to Nabii Tito
Mbona una mnyanyapaa hivyo Mtumishi wa Bwana Nabii Tito ? Mungu anakuona ujue ?hapo umejifanyia citation mwenyewe kweli kuna mfanano wa wew na huyo nabii uliyemtaja utafiti wako bado sana hiyo post yako ni kama literature review sasa nenda kwenye field (masonic lodge) kakusanye data utuletee kama ulikuwa kweli unataka kuipresent kazi yako uliyoifanyia utafiti
Yap!! na nilikua vizur sana kwenye kukaririUniversity utakuwa ulienda kukariri wewe.. For u to understand what am talkin about, ur mind have to be free like Nelson Mandela....
Na hata hizo siri ambazo members wakizitoa wanauwawa[emoji53] Ni hizo siri kuhusu Mungu na uwezo wake ambazo huwezi kuzikuta kwenye Bible.[emoji477][emoji57]
We Uzi Wako? Au ndio Vimaltipo ID.!?sina nafasi ....
miWe Uzi Wako? Au ndio Vimaltipo ID.!?
nd your fucking business i.d.io.t wewe ni wawkwako?huu uzi ama unawashwa shubamitWe Uzi Wako? Au ndio Vimaltipo ID.!?
Asante eemi
nd your fucking business i.d.io.t wewe ni wawkwako?huu uzi ama unawashwa shubamit