Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize.

Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa. Usitegemee yakufuate hapo mezani

Chakarika.
 
Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unazungumzia mapenz yapi kwani???
Unaweza ukaw n mpenz na usiwe bize na mapenzi
Kuwa na mpenz na kuwa bize na mapenz n vitu 2tofaut kabisa vinavyojigemea
Sasa unazungumzia tuwe bize na mapenz ama tuwe bize na wapenzi??
 
Katika maisha kila mtu ana vipaumbele vyake. Kama wewe umeona kuwa na mpenzi ndio jambo la muhimu ni sawa hakuna anaetakiwa kukupangia. Ila watu watakushangaa kwanini unaona kuwa mtu mwingine kutokuwa na mpenzi ni jambo la ajabu.

Kupanga ni kuchagua. Kila mtu afanye anachotaka wakati naotaka.
Hivyo viungo havikuwekwa kama pambo mkuu
 
Back
Top Bottom