Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

We Utakuwa Mzururaji....Unatafuta wenzio hapa.....!
Haa Yaani Uzurure Zurure tu...nashauri Ukitoka beba Japo Soksi Kama Machinga ili Hiyo 'Energy yako Isipotee'...!
😂😂😂 hiyo ndio nuksi ya kufukuza mpenzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unazungumzia mapenz yapi kwani???
Unaweza ukaw n mpenz na usiwe bize na mapenzi
Kuwa na mpenz na kuwa bize na mapenz n vitu 2tofaut kabisa vinavyojigemea
Sasa unazungumzia tuwe bize na mapenz ama tuwe bize na wapenzi??
Unatakiwa uwe bize na mpenzi wako angalau kwa wkend
 
Ahaaa kwa mtazamo wako huu basi upo sahihi mkuu,endelea na mada
Watu wanasaliti nafasi zao, kwa sababu ya mahusiano; mtu anatumiwa nauli kuvuka mabara na mabara kwa sababu ya mahusiano
 
Back
Top Bottom