Kama Yesu alivishwa sanda alipofariki, ninyi Wakristo mambo ya kuvishana suti mmetoa wapi?

Imani ya kikristo haijajengwa kwenye mfumo na tamaduni za kiyahudi,tofauti na waisalmu huwezi tofautisha hii ni imani au utamaduni wa waarabu,ndio mana hua na sema uislam ni utamaduni wa waarabu na wala sio imani.
Kwa hiyo waislamu wanafata tamadudi za yesu maana alisema "jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo"
Yesu hajawahi kuwa mzungu.
 
Umejitoa akili, Yesu angewezaje kuvaa suti miaka hiyo? Hujui maana ya nyakati?

Mtume wenu alitumia njia gani za mawasiliano? Je alitumia simu? Kwa nn wewe unatumia simu ikiwa mtume Mohamed hakutumia simu?
Unajua maana ya simu?
 
haaaaaahaaaa yaani mungu anakufa? mungu yesu anavishwa sanda sasa nani anaetupa sisi mvua na matunda ikiwa mungu kafa
Kwanza unamjua Yesu?
Pili unaelewa alikuja kufanya nini??
Tatu nipende kukwambia nabii Isa ni tofauti na Yesu Mwana wa Mungu.
Hujui kila kitu, uliza usaidiwe, tukianza kusema juu ya muhamadi na ubakaji utaanza kubwabwaja..
 
Kwa hiyo waislamu wanafata tamadudi za yesu maana alisema "jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo"
Yesu hajawahi kuwa mzungu.
Hakuna muislam, anayemjua Yesu.
Ukitaka kumjua Yesu, sharti ukubali kuwa Bwana na Mwokozi lakini pia ni Mwana wa Mungu.
Wala hakuna siasa kinyume na hpo mbinguni utoboi..
YESU SIO NABII ISSA
 
Hakuzikwa kwenye udongo alizikwa kwenye pango la kuchonga. Na sisi vipi tukazikane huko?
Kuzika lazima utengeneze kaburi. Hivyo tengeneza kaburi kivyovyote vile ila kumuandaa maiti kuna utaratibu wa kiimani ndio unatakiwa ufuatwe kwa mujibu wa hiyo imani inavyoelekeza.
 
Babu nchi inakwisha watu wanaongeza gharama kwenye ndege, achana na mambo yako ya dini
 
Kuzika lazima utengeneze kaburi. Hivyo tengeneza kaburi kivyovyote vile ila kumuandaa maiti kuna utaratibu wa kiimani ndio unatakiwa ufuatwe kwa mujibu wa hiyo imani inavyoelekeza.
Sasa mbona hujauliza kwann hatuzikank kwenye mapango kama yesu? Kwanini umechagua tu suti?
 
Kwani Yesu akiwa hai amewahi kuvaa suti?
 
To each their own....

Kama wanaamini Yesu alitembea kwenye maji kwanini na wao wasitembee kwenye maji wapande meli au boti ?

Point yangu ni kwamba binafsi kama kitu hakina madhara kwa jamii inayozunguka (unless waje kuniomba michango ya kuwanunulia suti).....; nachoweza kusema ni To each his / own.....

By the wau unajua hata utamaduni wa kuzikana Six Feet under kwenye makaburi nao ni wa juzi juzi tu hapa ? (Na ulikuja ili kuhakikisha tunaobaki hatupati effect ya kuambukizana magonjwa)?
 
Wakati huo ni watu gani walikuwa wanavaa suti?

Bar na gest za wakati huo walikuwa wanavaa mavazi aina gani?
 
Maelezo mengi yasiyo na maana yoyote... Nyakati za miaka 2000 nyuma unawezaje kuzifanya ziwe leo, yaani ni kama kufuga ndevu mkasema ni kumfuata mtume na mkasahau alikaa na ndevu kwa sababu hapakua na barbershops
 
Jibu lako ni dalili kuwa, mtoa hoja ametoa hoja nzito sana ambayo haijibiki. Jibu lako ni dalili kuwa, kinachofanyika unakikubali ingawa hukielewi
Hoja gani wakati ukishakufa ni mzoga tu, hauna kazi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…