Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Kwa hiyo alipozikwa ni kama kaburi ila sio kaburi au?Pia alizikwa kwenye pango lililochongwa kama kaburi itabidi pia tuache kuzikana kwenye udongo au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo alipozikwa ni kama kaburi ila sio kaburi au?Pia alizikwa kwenye pango lililochongwa kama kaburi itabidi pia tuache kuzikana kwenye udongo au sio
Kwa hiyo waislamu wanafata tamadudi za yesu maana alisema "jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo"Imani ya kikristo haijajengwa kwenye mfumo na tamaduni za kiyahudi,tofauti na waisalmu huwezi tofautisha hii ni imani au utamaduni wa waarabu,ndio mana hua na sema uislam ni utamaduni wa waarabu na wala sio imani.
Unajua maana ya simu?Umejitoa akili, Yesu angewezaje kuvaa suti miaka hiyo? Hujui maana ya nyakati?
Mtume wenu alitumia njia gani za mawasiliano? Je alitumia simu? Kwa nn wewe unatumia simu ikiwa mtume Mohamed hakutumia simu?
Hakuzikwa kwenye udongo alizikwa kwenye pango la kuchonga. Na sisi vipi tukazikane huko?Kwa hiyo alipozikwa ni kama kaburi ila sio kaburi au?
Kwanza unamjua Yesu?haaaaaahaaaa yaani mungu anakufa? mungu yesu anavishwa sanda sasa nani anaetupa sisi mvua na matunda ikiwa mungu kafa
Hakuna muislam, anayemjua Yesu.Kwa hiyo waislamu wanafata tamadudi za yesu maana alisema "jitieni nira yangu, mjifunze kwangu, kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo"
Yesu hajawahi kuwa mzungu.
Msomi, tupia vitu kdgo[emoji16]Wakulungwa mnaleta uzi fikirishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuzika lazima utengeneze kaburi. Hivyo tengeneza kaburi kivyovyote vile ila kumuandaa maiti kuna utaratibu wa kiimani ndio unatakiwa ufuatwe kwa mujibu wa hiyo imani inavyoelekeza.Hakuzikwa kwenye udongo alizikwa kwenye pango la kuchonga. Na sisi vipi tukazikane huko?
Khatari mkuu.Wakulungwa mnaleta uzi fikirishi🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Sasa mbona hujauliza kwann hatuzikank kwenye mapango kama yesu? Kwanini umechagua tu suti?Kuzika lazima utengeneze kaburi. Hivyo tengeneza kaburi kivyovyote vile ila kumuandaa maiti kuna utaratibu wa kiimani ndio unatakiwa ufuatwe kwa mujibu wa hiyo imani inavyoelekeza.
Kwani Yesu akiwa hai amewahi kuvaa suti?Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.
Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza
Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.
![]()
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.
![]()
Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.
Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.
Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.![]()
Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.
Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.
![]()
Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"
LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.
![]()
Jibu lako ni dalili kuwa, mtoa hoja ametoa hoja nzito sana ambayo haijibiki. Jibu lako ni dalili kuwa, kinachofanyika unakikubali ingawa hukielewiUkishakufa hata uzikwe uchi hakuna jipya
Bora weweAnyway suti ni sanda ya kisasa, siku nyingine uwe na maswali yenye kichwa hadi miguu
Nikitupia,wakulungwa watasema nimetumwa,si unajua tena sisi wasomi tuna maono mtambuko katika kuchangia mada yoyote ile🤣🤣🤣Msomi, tupia vitu kdgo[emoji16]
Maelezo mengi yasiyo na maana yoyote... Nyakati za miaka 2000 nyuma unawezaje kuzifanya ziwe leo, yaani ni kama kufuga ndevu mkasema ni kumfuata mtume na mkasahau alikaa na ndevu kwa sababu hapakua na barbershopsNaam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya kawaida kabisa wakati huo hilo ni sawa.
Na kile kila aliyetafiti alikuja na findings zake na majibu yake , kama tulivyoona kipande cha kwanza
Lakini kutokana na wakosoaji ,bado kiu ya wengi ni kutaka kujua kweli aliyesulubiwa ni Yesu kristo au kinyume chake. Ingawa Papa Benedict XVI alitangaza kuwa kitambaa hiki ni kweli Yesu Kristo alikafiniwa kwacho.
![]()
Sindonology ni utafiti wa "kisayansi" wa Shroud of Turin. Lakini Kwa bahati mbaya, wengi miongoni mwa wanasayansi wanaofanya uchunguzi na hubase katika kujaribu kuthibitisha kwamba shroud ni nguo halisi ambayo alivikwa Bwana Yesu Kristo tofauti na watafiti ambao hupinga.
![]()
Naam kama tulivokwisha kuelezea kwa undani katika sehemu ya kwanza , vitu ambavyo vilipatikana katika Shourd na Hata image ilivyonekana , Position na hata kuonyesha Rigor mortis.
Pia tuliongelea habari ya Bloodstain kupatikana katika kitambaa hicho. Si ndio.
Lakini Sheria za kiebrania kabla ya kuzikwa maiti basi husafishwa kabla ya kuvikwa sanda na hivyo damu isingeweza kuwepo lakini hakuna ushahidi wowote wa moja kwa moja kwamba bwana alisafishwa kabla ya kukafiniwa na Sanda na kuzikwa au alizikwa akiwa vivyo hivyo pasi na kusafishwa.
Mtaalamu wa Kemia bwana Walter McCrone alibainisha ya kwamba katika vipimo vilivyofanyika kuna dutu imepatikana kwenye shroud ambayo ni mchanganyiko wa Ochre na Vermilion , orchre ni Colour pigment ambayo imecontain ferric oxide. Ambayo hubadilisha rangi kutoka kwenye Light yellow kuwa Brown au Red na Vermilion hii ni red pigment from mercury sulphide.![]()
Hivyo basi hii inafichua sio damu halisi kama ilivyobainishwa na watafiti wengine, lakini vipimo hivi vilifanyika sehemu ndogo tu ya Kitambaa hicho na ilifanywa hivyo ili kuepusha kuharibu kitambaa hicho.
Na hapa hapa watafiti wengine wakaongeza kwa namna sanda inavyocover uso ingekuwa ngumu sana uso kutambulika, kwa kutumia kitambaa hiki.
![]()
Bw.WALTER McCRONE
"If the cloth were genuine, the face and body should be hardly recognizable as such, and should look something more like this. The figure does not satisfy the geometric conditions of contact formation"
LABDA LEORNARDO DA'VINCI ALIUHADAA (DANGANYA) ULIMWENGU.
![]()
Hoja gani wakati ukishakufa ni mzoga tu, hauna kazi tenaJibu lako ni dalili kuwa, mtoa hoja ametoa hoja nzito sana ambayo haijibiki. Jibu lako ni dalili kuwa, kinachofanyika unakikubali ingawa hukielewi