Dhambi ipi mpya ambayo haikuwepo mshkaji wangu mpk sheitwain ashike kichwa?Na dhambi za siku hizi hadi shetani anashika kichwa.....
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio Yesu Halisi
Mtu asiyeamini uwepo wa Mungu aliwahi kunipa changamoto kwenye kipindi cha televisheni. "Damu ya Yesu imekuwepo kwa miaka 2,000," alisema, "na kama kungekuwa na nguvu yoyote ndani yake kama unavyodai, ulimwengu usingekuwa katika hali ya uovu kama hii."Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio Yesu Halisi
Kipi hiki?Subiri utakipata unachokitafuta
Lakink kumbuka alimtoa mwanaye wa pekee hadi kufaMkuu ni swali zuri, ila jiulize swali dogo, wewe kama mzazi unajitoa kufanya kazi ili familia na wewe uie, je ulishawahi kumaliza njaa?
kwa wote wenye mwili na roho, ukombozi unakuja kwa juhudi yako, kwa maana utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako.
Ukombozi hauji kwa kusali sana au kukesha makanisani wakati unafanya matendo mabaya. Matendo yako na si kitu kingine
Ndio hapo tujue tatizo nini?Naambiwa mikoa ya nyanda za juu ina chakula kingi, lakini inaongoza kwa stunting...
Nawe ni Homo Sapiens au lile kundi la Chimpanzee kama huyu [emoji116][emoji848]Subiri utakipata unachokitafuta
Kwanini kila juhudi za kutibu magonjwa (tiba na dawa), tahadhari za barabarani na elimu zipo kitambo sana kunusuru uhai wa Binadamu lakini bado haizuii Watu kuumwa, kupata ajali au kufa?Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.