Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

Yesu aliweka utaratibu jinsi ya ukombozi utakavyokuwa​

Mathayo 24:13​

Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.

Marko 16:16​

Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
 
Mungu wa kweli angemwangamiza shetani badala ya kumuuwa mwanae mpendwa. Ni Mungu wa mchongo, wazungu wametuweza kwa kueneza hii dini yao karibu dunia nzima. Ila hasa ni ulimwengu wa tatu.
 
Dhambi ni nini?

Kwenda kinyume na mzungu ndio dhambi. Mfano, mzungu hataki tuoe wake wengi. Nini ubaya wa kuoa wake wengi? Dhambi iko wapi hapo?
Dhambi nini?
Kwenda kinyume na mwarabu.
Mfano mwarabu hataki tuowi mke mmoja na kuwa na familia moja unayoweza kuihudimia na kuwa na upendo.
 
Mungu wa kweli angemwangamiza shetani badala ya kumuuwa mwanae mpendwa. Ni Mungu wa mchongo, wazungu wametuweza kwa kueneza hii dini yao karibu dunia nzima. Ila hasa ni ulimwengu wa tatu.
Mungu kakupa utashi. Ndio unaoutumia vibaya.

Umepewa utashi ili uchague mema au mabaya.

Chagua mema ili uishi, au chagua mabaya ili ufe.

Heri ufe kifo cha mwili kuliko kile cha kiroho
 
Ni kwa nini Mungu amtoe mwanae kafara na alikuwa na uwezo wa kusema tu neno na yakatimia? Ndio maana naamini huo ni mchongo tu wa binadamu na wamefanikisha imani kuenea sehemu kubwa duniani, hasa ulimwengu wa tatu.
 
Ni kwa nini Mungu amtoe mwanae kafara na alikuwa na uwezo wa kusema tu neno na yakatimia? Ndio maana naamini huo ni mchongo tu wa binadamu na wamefanikisha imani kuenea sehemu kubwa duniani, hasa ulimwengu wa tatu.
Ulimwengu wa tatu ni upi?
 
Maswali kama haya niulizeni mimi ninaye jua injili ya kweli ninayo majibu matukufu ystakayo kuacha mdomo wazi na kukufsnya usiulize swali lako tena milele
 
Umekosea kwa asilimia 100
 
Mimi siyo muislamu wala mkristo ila dini ya kweli ni ya kristo siyo uislamu ....tatizo ni injili za makanisani zimewafanya watu msijue mambo makuu na yamsingi ila ni kweli kuwa damu ya yesu ni wokovu na kuna majibu sahihi ambayo nikiyaweka hapa hakuna yoyote atakaye bisha ....yupo shehe mmoja alibisha sana nilimpa sababu alibaki kimya hadi leo ila mjue tu injili mnayo fundishwa makanisani ni injili za kihuni na potovu ndiyo maana mnayo maswali mengi kuliko majibu. Baadhi ya mambo potovu mnayo fundishwa ni haya
1) mungu anazo nafsi tatu 3.. huu ni upumbavu
2l Yesu alisulibiwa kwa sababu ya dhambi ya asili ..huu nao ni upumbavu
3)Yesu alikuja duniani kwa sababu ya dhambi ya asili.
4) kuna dhambi ya asili
5) mafundisho potovu kuhusu amri kumi za mungu
6)mafundisho ya kwenda kanisani kwamba kwenda kanisanini lazima
7)roho mtakatifu ni nafsi ya 3 ya mungu
* Yapo mambo mengi yaliyo potoshwa siwezi kuwaweka yote mfano Dhaka imepotoshwa kuhusu fungu la kumi.
 
Nilishasema haya mambo ni fix, hakuna Mungu wa kweli anaemtwaa mwanae kafara. Kafara ni za kibinadamu.
Umekosea ungejua kwanini imefanyika hivyo usinge sama hayo maneno ....tatizo injili potovu za makanisani zimewapofusha.
 
yameanzishwa

hujiongezi tu mkuu kwamba nimekosea kuandika?
Yameanzishwa na nani ? Wewe ujui maana ya dini kwa kifupi neno dini kwa lugha ya kidunia ni (haki)

Msingi wa neno dini ni huu [emoji117] UMEJUA MEMA NA MABAYA TENDA MEMA YAANI UMEJUA HAKI NA BATILI TENDA HAKI haya maneno ndiyo msingi wa dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…