Kama yote

BTW kuna kitu kinaitwa misimu,mtoa mada katafute maana ya musimu utaelewa kwanini kama huvuma kisha hupotea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wa dar wana misemo ya ajabu sana yaani..
Ndo maana humu wadau wanatema nyongo kama zote hivi..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe hadi mikoani kama yote, [emoji28] [emoji28]
 
Jamaa anatembea mwendo "kama wote" acheni lugha ipate misamiati mipya masuala ya kupangiana misamiati ni wendawazimu... Kilatini kilikufa kwasababu "kama zote" [emoji23][emoji23][emoji23] hizo
Hakuna msamiati mpya hapo. Ni maneno tu ya kawaida kama yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…