Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

Nimejumlisha ulivyosema wewe uko poa kushikwa popote kwenye mwili wako nikazidisha na ulivyosema eti nerve za hisia za utamu ziko mku... nikagawa na ulivyosutwa jumlisha na umri wako...Nimekuonea huruma sana.
now you have my full attention😁
 
Siku zote account yangu inasomaga digits 18 ila sijui nikwambiaje unielewe ila jua tu unamiliki neema ambayo hainunuliwi kwa fedha wala dhahabu.
Sikumaanisha Hela kama ulivonielewa ila nachotaka kusema huenda unachokiona kwako kama shida sisi wengn tukiwa kwenye hali uliyonayo tunaona kama tupo kwenye neema mfano huyo rafiki yangu alikua na 230k lkn anajiona Hana Hela kbs ila mi nlikuwa na 15k lkn nlikuwa comfortable kinoma
 
Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo.

Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu.

Leo niko na hisia za furaha sana na ndio maana nimepata msukumo wa kuandika.

Lengo la kuandika sio kuwaambia nina furaha maana kuwa na furaha sio ajabu na kila mwenye furaha akisema aandike uzi patakua hapatoshi hapa.

Kilichofanya niandike ni kuwa katika hali ya kibinadamu kutokana na mambo niliyokua napitia muda mfupi nyuma sikutegemea kabisa kama leo hii ningekua miongoni mwa wenye kufurahia maisha.

Kilichotokea ni Mungu peke yake ndie mwenye uwezo wa kufanya kitokee.Idadi za kumuona Mungu maishani mwangu zimeongezeka.Mungu yupo.Ni halisi.Anaonekana na mimi nimemuona.

Sikiliza rafiki,haijalishi unapitia nini,haijalishi watu wangapi wataandika dharau na kejeli kuhusu uzi huu ila MUNGU YUPO NIMEMUONA NA KWAKO ATAONEKANA PIA.

Inawezekana asijidhihirishe kwako kwa haraka kama alivyofanya kwangu ila YUPO, ANAKUONA na wewe iko siku UTAMUONA.

Namalizia kwa kurudia kukwambia,,HAIJALISHI UNAPITIA NINI,haijalishi unachopitia kimewaangamiza wengi ila kwako kitapita mana kinachodumu milele ni neno la Mungu tu ila
mengine yote YANAPITA.
Amen
 
Amina! Mungu akubariki sana kwa neno hili la faraja!
 
Back
Top Bottom