Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo

Mkuu neno USHUHUDA ni kama hujalitendea haki kabisa mana hatuelewi masahibu uliyopitia na namna faraja uliyopata sasa...huenda ni vitu vya usiri sana ungeileta kwa id mpya mana nijuavyo saikolojia ili lengo lako la kuelezea furaha uliyonayo ujikate kiu basi ni kufunguka ukweli hapo nafsi hutulia mana umefanya kile ilitaka kutufikishia.....Lakini sababu hujasema uliyopitia naamini nafsi bado haijakubaliana nawe na kile umeandika hama yani bado kuna kitu/vitu uvitaje.Anyway ubarikiwe sana.
 
Asante nimekuelewa mkuu
 
huyu ni mtoa mada ana tatizo la attention seeker disorder, Pridah ebu njoo hapa uone ulichoandika na uzi wako wa leo afu ujiangalie kwa kioo ujipige kifuani mara 3
 
Back
Top Bottom