nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Nakurejeshea mara sab ini.Unastahili kupewa pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakurejeshea mara sab ini.Unastahili kupewa pole
Amen...na iwe kwako pia....imeandikwa...."tafuteni amani na watu wote"......Amani iwe juu yako mkuu
Asante nimekuelewa mkuuMkuu neno USHUHUDA ni kama hujalitendea haki kabisa mana hatuelewi masahibu uliyopitia na namna faraja uliyopata sasa...huenda ni vitu vya usiri sana ungeileta kwa id mpya mana nijuavyo saikolojia ili lengo lako la kuelezea furaha uliyonayo ujikate kiu basi ni kufunguka ukweli hapo nafsi hutulia mana umefanya kile ilitaka kutufikishia.....Lakini sababu hujasema uliyopitia naamini nafsi bado haijakubaliana nawe na kile umeandika hama yani bado kuna kitu/vitu uvitaje.Anyway ubarikiwe sana.
tunaishi mara moja tu😂mshamba_hachekwi wewe unatudunga ma like tu huna baya na mtu😁
Mbona hakuna ushuhuda sasa?Kama yupo anayepitia kipindi kigumu naomba usome huu Ushuhuda wangu labda unaweza kupata faraja kidogo
Hata mi nashangaaaUle uzi mwingine umesema huamini katika Mungu.
Unatuchanganya