Kamala Harris alikumbuka shuka kukiwa kumekucha!

Uongo mtupu.

Huna hoja hata moja, andika hoja yako moa tu tuijadili kwa ushahidi, wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
 
Wote evil lakini acha huyu aliyewachukulia wapiga kura hawa for granted siku zote, japo this time wamtie adabu kwanza na ajue kwa hakika ni hawa.

Mengine baadaye.

Au nasema uongo?
Trump ndiye raisi wa Amerika aliyetangaza kwamba Jerusalem ni mji mkuu wa Israeli.
 
Siyo bando mkuu. Tunaangalia chanzo cha mgogoro. Haki ya kuwepo kwa Israeli na Wapalestina kuamini kuwa Israel haupaswi kuwepo wakiamini ardhi ni yao.

Hapo Trump akisema atamaliza mgogoro anawadanganya. Vivyo hivyo kwa Kamala.
Hawana tofauti na mchungaji anayesema atamwombea muumini wake apate gari
 
Trump ndiye raisi wa Amerika aliyetangaza kwamba Jerusalem ni mji mkuu wa Israeli.

Umeelewa kuna mtu atajutia?

Si mwingine bali bi Kamala!

Na humo ndiyo ukweli misayuni ya kwetu inaojaribu kuukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…