ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kama Toka Mwanzo alisema ataendelea Kuunga mkono Israel Kwa Nguvu zote,Leo hii ndio ageuke kinyume na msimamo wa Chama chake? Hilo halipo na hakuna wajingaKwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.
View attachment 3143259
Ndiyo hivyo tena.
Majuto ni mjukuu.
Mnalilia nini? Mbona Mimi silii? Ni aibu kulizwa na jinsia inaonesha kabisa huna uwezo.Tanganyika tunalia kwa jinsia hii, nitaishangaa USA kumchagua.
Bora kichaa kuliko jinsi...hii.
Marekani wa Tunduru akimtaja VP wa USA kuwa ana uwezo mdogo wakati amepata endorsement ya chama walikojaa magwiji.Uwezo mdogo bwana au mpaka tuongee maneno ya kuwachukiza akina ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa
Waafrica hatuna akili kabisa 🤕🤕🤕 tunashabikia viti vya ukibaraka ambavyo hatuna amri navyo yoyote zaidi ya kufuata miongozo ya mabeberu ...wakisha tupachika vyeo wanatutumia dhidi ya nchi zetu wenyewe ...cheo cha huyo mwanamke nikama zile PHD za kuchambia alizokuwa anapewa mjambiani mpumbavu kwa kugawa bandari zetu bure milele daima kisha anatoka kakenua meno akifurahia makaratasi ya chooni kama zuzu ...bado tusubiri kupewa maji matukufu ya zamzam kwa kugawa SGR NA BRT NA BWAWA LA NYERERE BURE.Mnalilia nini? Mbona Mimi silii? Ni aibu kulizwa na jinsia inaonesha kabisa huna uwezo.
Bahati mbaya sana Ukubwa wa dick Yako haukuongezei akili 😂😂👇👇
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1852769611671896173?t=UbQPF_Om4LMcFWqtJjCeDw&s=19
Amefeli 😂 atulie tu muda wa kwenda kulisha bata uwani umewadia
Labda useme hivyo.. lakini swala sio jinsia.Uwezo mdogo bwana au mpaka tuongee maneno ya kuwachukiza akina ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa
Nani amekuambia nateseka?Wacha conclusion za kijinga.Mimi nilichangia ninavyoona na kuelewa siasa za Marekani.
Uwezo mdogo bwana au mpaka tuongee maneno ya kuwachukiza akina ChoiceVariable na Lucas Mwashambwa
Sasa wewe hadi leo ujajua kuwa wanawake uwezo wao upo chini sana ya wanaume ..jinsia ya kike moja kwa moja inauwezo mdogo sana kuwa viongozi.
Fidel Castro alikuwa hana dini, alipoulizwa kuhusu uchaguzi wa marekani alijibu hivi:
Mwaka 1960 Rais wa Cuba Fidel Castro aliulizwa angependelea mgombea gani... Kennedy au Nixon.?
Castro alijibu ... "Haiwezekani kulinganisha viatu viwili vinavyovaliwa na mtu mmoja. Amerika inaongozwa na chama kimoja ... Chama cha Zionist na kina mbawa mbili ...
Mrengo wa Republican ambao unawakilisha nguvu kali ya Kizayuni... na mrengo wa Kidemokrasia ambao unawakilisha nguvu laini ya Kizayuni...
Hakuna tofauti katika malengo na mikakati, ni njia na zana ambazo zinatofautiana kidogo".
Hujui hata kufikiri.Kumchagua Trump ambaye ni zealous supporter wa Israel ni kumtia adabu Kamala?Mwenye conclusion za kijinga si wewe uliyeita kumchagua Trump Ili kumtia afabu Harris ni hoja mufilisi?
Kwamba nimekuwekea yasemwayo na waliodhamiria kumtia adabu kama yalivyo ndiyo yalifanye wewe kung'aka hivyo?
Kulikoni ndugu?
madaraka yasikupe huzuni, hata wewe ukiyataka unayapata.Mjadala nje ya dini huo una afya mno, sasa Madina, Mecca sijui Vatican huko, sisi wengine wapi na wapi?
Castro namheshimu sana japo yeye naye kama Putin, Xi, CCM, RPF, NRM nk kutoka madarakani, hata wametamka hadi kwa nyundo!
Sasa Castro, Putin, Xi, PK, Museveni, CCM na wa mamma hiyo ndiyo uwaulize kuhusu demokrasia duniani? Si watakwambia zao ndiyo modeli?
Kwani unadhani CCM wanaweza kusema hadharani chaguzi huwa wanakwiba?
Hujui hata kufikiri.Kumchagua Trump ambaye ni zealous supporter wa Israel ni kumtia adabu Kamala?
Wisdom is chasing you but you are always faster.
Hizi si ndiyo conclusion za kijinga ndugu?
Sasa na mimi kumbe nikisema hata kufikiri hujui utasema je?
Kama una nia ya kujadili tokea na nia hiyo, siyo na vi conclusion za kijinga. Vinginevyo tutakuonyesha wasemavyo wapiga kura wenyewe na kukuuliza kulikoni, unateseka kutokea wapi.
Haya ya wisdom kukimbizana na wewe bila shaka yanakuhusu wewe zaidi.
Ila kamala akishinda lazima gazeti la pongezi litoke kupitia x kutoka kwa rais wa puerto rico.
Sasa si bora hata huyo Kamala, Trump ndio chiz alisema akishaingia Iran shuguli anayo, Trump alihamisha ubaloz wa US israel akaupeleka Jerusalem makusudi na palestina na Midsle east yote walikasirika.. na akatambua settlement za israel pale westbank. Kama sehem ya israel na wala sio uvamizKwa hakika kura hizo Kamala atazikumbuka.
View attachment 3143259
Ndiyo hivyo tena.
Majuto ni mjukuu.
Hao wote ni hali moja, hakuna mwenye afadhali. Wote ni mashetani, hawawezi kuendesha nchi nje ya mfumo wa kishetani.
Hakuna "lesser evil".
Kaka we acha. Si unakumbuka kamala alifanya ziara puerto rico na kuahidi baadhi ya vijimsaada. So unategemea kamala akianguka unadhani rais wa puerto rico atafurahi? Jibu ni hpana. Trump akiingia hata vijisafarisafari vinaweza kukata. Yu no wari ai mini.Ina maana mwamba akishinda itakuwa msiba mkubwa tokea San Juan huko?