Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

Misaada iliyorushwa na maparashuti ..wapalestina wameigombania hadi wengine wameingia ufukwen baharin kuifata..ogopa njaa wewe
 
Mateka washaachiwa au bado? vita iishe
Me nashindwa kuwaonea Huruma Gazan sababu news zo ni maigizo and kila siku... Yaani Gaza kuna Watoto na wanawake tu... ndio wanadedi... uongo unasaidia nini? huruma wakati front line Hamas na nguo za kiraia wanavizia IDF kibaya wanajirecord wakifanikiwa kulipua either kifaru au kuua wanajeshi... Proppaganda vitani mtamalizwa bila kuchujwa...
 
Mbona husemi US anasaidia Palestina pia?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Vita haina macho hata hapo Israel kajitahidi sana kuepusha vifo vya raia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Israel ni ya Wayahudi ina maana wewe unapingana na mtume wako??
 
Wasabato tumewazoea
 
Alinacha
 
Vita muanzishe nyinyi halafu mnalialia kuwa mnaonewa. Halafu nyinyi waislam siasa kali mnawauza watu wa watu wa Gaza kwa Agenda zenu za kidini. Sasa mpaka waseme poo ndiyo kibano kitaachiwa
 
Wamechokoza nyuki unategemea nini?! Hata Nyerere alimpiga Nduli Idd Amin alipovamia na kuuwa kule Kagera
Hujaelewa hoja.... Kagera ipo Tanzania, Idd Amin alivamia Kagera ambayo ni mkoa wa Tanzania. Nyerere akamvamia Idd Amin ili amtoe Kagera ambayo ni Tanzania. Je ule ni uchokozi? Kama jibu ni hapana basi interchange kwa Tanzania weka Palestine na Idd Amin ndio Israel.

Kumtoa mtu kwenye ardhi yako mwenyewe sio uchokozi.
 
Vita muanzishe nyinyi halafu mnalialia kuwa mnaonewa. Halafu nyinyi waislam siasa kali mnawauza watu wa watu wa Gaza kwa Agenda zenu za kidini. Sasa mpaka waseme poo ndiyo kibano kitaachiwa
Nani kaanzisha vita? Wao wamekaliwa kimabavu na majeshi ya Israel hutaki wajitawale? Kuna watu akili zenu sijui zikoje. Yaani Mandela kupinga ukoloni wa makaburu ni sawa, Mkwawa kupinga ukoloni wa wajerumani ni sawa ila Hamas kupinga ukoloni wa Israel eti ni uchokozi!!
 
Ndivyo mnavyodanganywa na Masheikh ubwabwa wenu! Na mtaendelea kupata kichapo mpaka mwisho wa Dunia hii. Na kwa taarifa yako huko Europe na US mlikovamia na kuanza kuzaliana kama panya wanawawekea mkakati, na Trump anarudi ata wadeport
 
Allah hawezi kuwaadhibu hao kwani hata hawamtambui huyo allah unayemsema.
 
Umeota au nini
 
Hivi si ni hao wapalestina ndio waliowaua kikatili watanzania sasa kwa nini na sisi tuwahurumie wanapouliwa na waisrael si afadhali na sisi tufurahi tu Israel wanapo tusaidia kulipiza kisasi.

Well done Israel and please keep it up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…