Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

Mnafiki huyo Bibi, aiwekee vikwazo vikali Israel kama ni kweli anachomaanisha.
 
Hivi si ni hao wapalestina ndio waliowaua kikatili watanzania sasa kwa nini na sisi tuwahurumie wanapouliwa na waisrael si afadhali na sisi tufurahi tu Israel wanapo tusaidia kulipiza kisasi.

Well done Israel and please keep it up.

Ni watanzania au wayahudi weusi?
 
Hamna taifa linalo ongoza kwa unafiki na uongo kama US. US kwenye baraza la usalama limekataa mara tatu kusimamisha mapigano Gaza.

Pili linatoa msaada wa silaha ambazo ndizo hutumika kila siku Gaza.

Leo Makamu wa Rais eti anaumia na yanayo endelea Gaza kama si unafiki na undumilakuwili ni nini.Jana Palestine wamekataa misaada yao ya chakula,wamerusha na maparashuti wameichunia.
Warabu ndo wanafiki,kwanini wasiungane kuishinda Israel?
 
Hiyo misaada yenyewe wanatakiwa watu wa afya waipitie, hao sio wa kuamini.

Haya matamshi ya huyu kamala sina imani nayo, Mpaka raia wakiwemo watoto, watu wazima wanakufa na bado rais wao biden hataki vita isitishwe. Hawa sio wa kuamini, biden na huyu mama+washirika wao wataenda kujibu kwa Allah.
yaan kama mataira we ni no moja?? wenye njaa wanamuda wa kupitia au wa kuchunguza??

mmekalia kuvaa kanzu roho mbaya si mlikua mnasapport hamas sasa mnashindwaje kupeleka misaada had adui yenu awaoneee huruma😂
 
yaan kama mataira we ni no moja?? wenye njaa wanamuda wa kupitia au wa kuchunguza??

mmekalia kuvaa kanzu roho mbaya si mlikua mnasapport hamas sasa mnashindwaje kupeleka misaada had adui yenu awaoneee huruma😂
Hujaona nchi za kiislamu zinawasaidia chakula na mahema! Mojawa wapi Oman, egypt n.k! Au wewe umekariri marekani tu!
 
Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi.

Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo visivyolingana na mateso hayo.

Hayo yakitokea na kuwashtua washirikaj wa Israel viongozi wa nchi za kiislamu na zinazopakana na Gaza na Palestina kwa jumla zimekaa kimya ama kutoa kauli za kujificha.

Mfano wa kauli hizo ni ile ya karibuni ya kiongozi wa Uturuki aliyoitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel juu ya mauwaji ya watu wa Gaza.

Kama ameumizwa na mateso hayo kweli angeweza kufanya zaidi ya walivyofanya wanamgambo wa Houth kuzuia maangamizi hayo.


===


Vice President Kamala Harris on Sunday called for an “immediate cease-fire” in Gaza, saying that Hamas should agree to the six-week pause currently on the table and that Israel should increase the flow of aid into the besieged enclave amid a humanitarian crisis.

Ms. Harris’s remarks, delivered in Selma, Ala., bolstered a recent push by President Joe Biden for an agreement and came a day before she was to meet with a top Israeli cabinet official involved in war planning, Benny Gantz. Her tone echoed a sharper and more urgent tone coming from the White House as its frustration with Israel grows. Last month, the president called Israel’s response to the Oct. 7 Hamas-led attack “over the top.”

Ms. Harris assailed the dire conditions in Gaza, calling the situation a “humanitarian catastrophe.” It was her most forceful assessment to date of the Middle East conflict, which has killed more than 30,000 Palestinians, according to Gazan health authorities, and put the enclave on the brink of famine.

“What we are seeing every day in Gaza is devastating,” Ms. Harris said. “We have seen reports of families eating leaves or animal feed. Women giving birth to malnourished babies with little or no medical care. And children dying from malnutrition and dehydration. As I have said many times, too many innocent Palestinians have been killed.”

“The threat Hamas poses to the people of Israel must be eliminated,” Ms. Harris added. “And given the immense scale of suffering in Gaza, there must be an immediate cease-fire, for at least the next six weeks.”

Sign up for the Israel-Hamas War Briefing. The latest news about the conflict. Get it sent to your inbox.

Mr. Biden has been pushing for a deal between Hamas and Israel that would allow for the release of hostages and a temporary cease-fire by Ramadan, the Muslim holy month that starts around March 10. U.S. officials said that Israel had “more or less accepted” terms of the deal, but Hamas has yet to agree to it.

Ms. Harris reiterated the United States’ support for Israel’s right to defend itself against the ongoing threat from Hamas, which she said had no regard for innocent life in Israel or in Gaza. Ms. Harris called Hamas a “brutal terrorist organization” that poses a threat to Israel and should be eliminated.

“Hamas claims it wants a cease-fire,” she said. “Well, there is a deal on the table.”

Ms. Harris spoke at a time when the political consequences of the Biden administration’s unwavering support for Israel are beginning to come into sharper focus. While Mr. Biden has increasingly criticized Israel’s response to the Oct. 7 attack, his rejection of calls for a permanent cease-fire and a series of earlier missteps in showing a lack of empathy for Palestinians have divided the Democratic Party. They have also alienated key constituents, including Black, young and Arab American voters.

Opponents of the war and pro-Palestinian protesters have followed Mr. Biden to events across the country to protest his support for Israel in the war. Prominent Black faith leaders have called on the administration to halt financial assistance for Israel, alleging that its military campaign amounts to “mass genocide.”

In perhaps the most glaring warning sign to date, more than 100,000 people, many of them Arab Americans, voted "Uncommitted" in Michgan's primary last week — a preview of what could unfold in other key swing states that helped elect Mr. Biden in 2020.

Ms. Harris also said on Sunday that Israel must do more to allow for the flow of aid into Gaza, including opening new border crossings, lifting unnecessary restrictions on aid deliveries and restoring services to Gaza.

“People in Gaza are starving,” Ms. Harris said. “The conditions are inhumane. And our common humanity compels us to act.”

She condemned a scene that unfolded on Thursday, when more than 100 Gazans desperate for food descended on an aid convoy and were met with what Ms. Harris called “chaos and gunfire,” after Israel opened fire on the crowd.

Israeli and Palestinian officials and witnesses have offered different accounts of the episode, with Israeli officials blaming the crush of the crowd for most of the deaths, while witnesses described extensive gunfire by Israeli forces.

“The Israeli government must do more to significantly increase the flow of aid,” Ms. Harris said. “No excuses.”

Ms. Harris’s remarks, delivered at the Edmund Pettus Bridge during a commemoration of Bloody Sunday, a major civil rights event in 1965, drew applause at points from the crowd.

On March 7, 1965, Black Americans were beaten by white law enforcement officers on the bridge for marching for their right to vote. The event was widely credited with galvanizing support for the Voting Rights Act of 1965, which passed five months later.

The New York Times
Marekani wana uchaguzi mwezi Novemba mwaka huu.

Kwahiyo Bi Kamala Harris afanya kampeni kutafuta kura za wamarekani ambao wengi wameonyesha kumuunga mkono Donald Trump.
 
Anawasaidia kwa lipi?

Wewe unazani Palestina wanahitaji chakula?

Permanent solution ndicho wanacho hitaji Palestina ni usitishwaji wa mashambulizi ambao US hataki na yy ndiye silaha zake zinatumika kuipiga Gazza.
Hiyo permanent solution si waliikataa 1948 walichagua hii njia wanayoipitia
 
Ni mnafiki sana, US ilikuwa nchi ya kwanza ku-support Israel kwa kupeleka meli zenye shehena za silaha nzito Israel Hamas walipovamia Israel baada ya mateso ya muda mrefu kwa Wapelestina.

US haikuwahi kujaribu kuleta suluhu walifikiria kuwauwa Wapelestina wasio na hatia kama jambo la kwanza, kuvamia Gaza na kuangusha mabomu mazito muda wote huo sasa anakuja na siasa za kinafiki. "She is a Snake"

Kwa sababu sasa wameona uchaguzi unawadia October na wanajaribu kuleta siasa za kusimamisha mapigano ili Democratic na Biden waweze kurudi tena madarakani. Hamas sio kikundi kidogo kama walivyofikiria wataangaliza zaidi maslahi ya muda mrefu kuwa huru kwa Taifa la Palestina. In Sha Allah itakuwa hivyo tu.

Ila Hamas kama walijua mziki wa Israel kwanini waliamua kuchokoza sasa ivi wanatafuta huruma za jamii za kimataifa
Mimi nachojua Hamas walianzisha vita October 7 na vita inaendelea kama walivyotaka. Kila kitu kimeenda sawa kulingana na mipango ya Hamas, mahandaki walijenga mda mrefu,wakakusanya silaha mda mrefu mwisho wa siku wakavamia Israel...na sasa wapo vitani kama walivyokusudia
 
Hiyo permanent solution si waliikataa 1948 walichagua hii njia wanayoipitia
Hebu niambie 1948 ilikuwaje?

Maana kama hujui Palestina kila siku inamegwa tokea 1948,hata hiyo mipaka iliyowekwa na UN haiheshimiwi ulitaka Palestina wafanyaje.
 
Hebu niambie 1948 ilikuwaje?

Maana kama hujui Palestina kila siku inamegwa tokea 1948,hata hiyo mipaka iliyowekwa na UN haiheshimiwi ulitaka Palestina wafanyaje.
Tangu mkatae lile azimio la UN Nani ataiheshimu Ile mipaka tena? Mlijifanya wababe mkaitana na waarabu wenzenu mkinukishe leo mnalialia
 
Na mtaendelea kupata kichapo mpaka mwisho wa Dunia hii.
Acha uongo, wayahudi tokea 1900 wameshachinjwa sio chini ya million 10 kwa asilimia tu wayahudi wengi wameuawa kuliko waarabu kwa ratio ya population. As much as sifurahii vifo ila waliopokea kichapo ni wayahudi.
Na kwa taarifa yako huko Europe na US mlikovamia na kuanza kuzaliana kama panya wanawawekea mkakati,
Europe ipi hiyo? Huko watu wameshaacha dini wamegeukia ushoga na atheism unadhani wana muda wa kupambana na waislam au waarabu?
 
Marekani wana uchaguzi mwezi Novemba mwaka huu.

Kwahiyo Bi Kamala Harris afanya kampeni kutafuta kura za wamarekani ambao wengi wameonyesha kumuunga mkono Donald Trump.

Trump na biden ni wale wale tu, Rais aliekua na afadhali ni Bill clinton.
 
Back
Top Bottom