makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Unadhani yupo serious, ni unafiki tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mpambane kiume Sasa mbona mnalalamika Sasa!Nani alilikataa azimio,kafuatilie mipaka iliyoweka na UK 1914?,ndio hiyo iliyowekwa na UN 1948.
Why mipaka ya 1914,haiku heshimiwa ije kuheshimiwa ya 1948?
Sasa hiyo vita unazani kuna mshindi.....? Ndio tatizo kutizama mambo kishabiki.Ndo mpambane kiume Sasa mbona mnalalamika Sasa!
walianzisha wamalize sasa !!!Sasa hiyo vita unazani kuna mshindi.....? Ndio tatizo kutizama mambo kishabiki.
hapa naunga mkono Ulaya na marekani hawana muda na dini wala hofu ya uislamu wao wanapiga pesa tu!!Acha uongo, wayahudi tokea 1900 wameshachinjwa sio chini ya million 10 kwa asilimia tu wayahudi wengi wameuawa kuliko waarabu kwa ratio ya population. As much as sifurahii vifo ila waliopokea kichapo ni wayahudi.
Europe ipi hiyo? Huko watu wameshaacha dini wamegeukia ushoga na atheism unadhani wana muda wa kupambana na waislam au waarabu?
Sikulaumu kwa kuwa umeanza kufuatilia mwaka jana,ripoti ya Amnesty miaka nenda miaka rudi zina ripoti Wapalestina wanauliwa kwa Mabomu na Risasi ndio maisha yao kwa zaidi ya miaka 75.walianzisha wamalize sasa !!!
Sikulaumu kwa kuwa umeanza kufuatilia mwaka jana,ripoti ya Amnesty miaka nenda miaka rudi zina ripoti Wapalestina wanauliwa kwa Mabomu na Risasi ndio maisha yao kwa zaidi ya miaka 75.
Tanzania ni Israeli na Wapalestina ni Nduli idd amin.Hujaelewa hoja.... Kagera ipo Tanzania, Idd Amin alivamia Kagera ambayo ni mkoa wa Tanzania. Nyerere akamvamia Idd Amin ili amtoe Kagera ambayo ni Tanzania. Je ule ni uchokozi? Kama jibu ni hapana basi interchange kwa Tanzania weka Palestine na Idd Amin ndio Israel.
Kumtoa mtu kwenye ardhi yako mwenyewe sio uchokozi.
Mimi sijasema Kuna mshindi Ila Kuna upande unalalamika SanaSasa hiyo vita unazani kuna mshindi.....? Ndio tatizo kutizama mambo kishabiki.
Kupigana kimya kimya kupoje ?Mimi sijasema Kuna mshindi Ila Kuna upande unalalamika Sana
Hapo ni kupigana kimya kimya mpaka mshindi apatikane
Sasa hapo inabidi Hamas nao warushe mabomu Zaid ya hayo kwenye ardhi ya wayahudi Kama tel Aviv n.k. ili kupiga watoto na wanawake wa kiyahudi na siyo kulalama huku wakisubiri huruma ya kimataifaKupigana kimya kimya kupoje ?
Mimi sioni kama wanapigana kimya kimya maana mapaka sasa kwa miezi hii mitano yashatumika mabomu zaidi ya elfu ishirini na moja kwenye ardhi ya Gazza.
Sasa unarudi pale nilipo kuuliza "hii vita unazani ina mshindi?"Sasa hapo inabidi Hamas nao warushe mabomu Zaid ya hayo kwenye ardhi ya wayahudi Kama tel Aviv n.k. ili kupiga watoto na wanawake wa kiyahudi na siyo kulalama huku wakisubiri huruma ya kimataifa
Ww si ulikua unashangilia October 07 na waarabu wenzako....mlipowaua wayahudi???Inasikitisha sana.
Ww si ulikua unashangilia October 07 na waarabu wenzako....mlipowaua wayahudiInasikitisha sana.
Si walikua wanashangilia October 07Sasa hapo inabidi Hamas nao warushe mabomu Zaid ya hayo kwenye ardhi ya wayahudi Kama tel Aviv n.k. ili kupiga watoto na wanawake wa kiyahudi na siyo kulalama huku wakisubiri huruma ya kimataifa
Ushaanza adithi za kuwatukuza wakoloni wako wa kiarabu.......!!!Hakuna atakayewatoa mazayuni pale isipokuwa watu wa Tawheed na Sunnah kwa idhini ya Allah.
Sio Marafidha wa Iran, Hezbo na Houthi, wala sio Ikhwanul mufliseen, wala sio makhawaarij kama Daesh/Isis, wala sio waandamanaji wanaopiga kelele huku wakicheza dabke na kuimba "Ana Dammi Falastini", wala sio wanaojichoma moto wenyewe.
Allah awasamehe na awakubali Waislam waliouawa Palestine kuwa mashahidi.
Vp.....kuhusu wakoloni wa kiarabu waliotawala pwani yetu ya afrika mashariki kwa ukatili..,....na kuwaita wazawa wa bara WASHENZI.......???Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi.
Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo visivyolingana na mateso hayo.
Hayo yakitokea na kuwashtua washirikaj wa Israel viongozi wa nchi za kiislamu na zinazopakana na Gaza na Palestina kwa jumla zimekaa kimya ama kutoa kauli za kujificha.
Mfano wa kauli hizo ni ile ya karibuni ya kiongozi wa Uturuki aliyoitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel juu ya mauwaji ya watu wa Gaza.
Kama ameumizwa na mateso hayo kweli angeweza kufanya zaidi ya walivyofanya wanamgambo wa Houth kuzuia maangamizi hayo.
===
Vice President Kamala Harris on Sunday called for an “immediate cease-fire” in Gaza, saying that Hamas should agree to the six-week pause currently on the table and that Israel should increase the flow of aid into the besieged enclave amid a humanitarian crisis.
Ms. Harris’s remarks, delivered in Selma, Ala., bolstered a recent push by President Joe Biden for an agreement and came a day before she was to meet with a top Israeli cabinet official involved in war planning, Benny Gantz. Her tone echoed a sharper and more urgent tone coming from the White House as its frustration with Israel grows. Last month, the president called Israel’s response to the Oct. 7 Hamas-led attack “over the top.”
Ms. Harris assailed the dire conditions in Gaza, calling the situation a “humanitarian catastrophe.” It was her most forceful assessment to date of the Middle East conflict, which has killed more than 30,000 Palestinians, according to Gazan health authorities, and put the enclave on the brink of famine.
“What we are seeing every day in Gaza is devastating,” Ms. Harris said. “We have seen reports of families eating leaves or animal feed. Women giving birth to malnourished babies with little or no medical care. And children dying from malnutrition and dehydration. As I have said many times, too many innocent Palestinians have been killed.”
“The threat Hamas poses to the people of Israel must be eliminated,” Ms. Harris added. “And given the immense scale of suffering in Gaza, there must be an immediate cease-fire, for at least the next six weeks.”
Sign up for the Israel-Hamas War Briefing. The latest news about the conflict. Get it sent to your inbox.
Mr. Biden has been pushing for a deal between Hamas and Israel that would allow for the release of hostages and a temporary cease-fire by Ramadan, the Muslim holy month that starts around March 10. U.S. officials said that Israel had “more or less accepted” terms of the deal, but Hamas has yet to agree to it.
Ms. Harris reiterated the United States’ support for Israel’s right to defend itself against the ongoing threat from Hamas, which she said had no regard for innocent life in Israel or in Gaza. Ms. Harris called Hamas a “brutal terrorist organization” that poses a threat to Israel and should be eliminated.
“Hamas claims it wants a cease-fire,” she said. “Well, there is a deal on the table.”
Ms. Harris spoke at a time when the political consequences of the Biden administration’s unwavering support for Israel are beginning to come into sharper focus. While Mr. Biden has increasingly criticized Israel’s response to the Oct. 7 attack, his rejection of calls for a permanent cease-fire and a series of earlier missteps in showing a lack of empathy for Palestinians have divided the Democratic Party. They have also alienated key constituents, including Black, young and Arab American voters.
Opponents of the war and pro-Palestinian protesters have followed Mr. Biden to events across the country to protest his support for Israel in the war. Prominent Black faith leaders have called on the administration to halt financial assistance for Israel, alleging that its military campaign amounts to “mass genocide.”
In perhaps the most glaring warning sign to date, more than 100,000 people, many of them Arab Americans, voted "Uncommitted" in Michgan's primary last week — a preview of what could unfold in other key swing states that helped elect Mr. Biden in 2020.
Ms. Harris also said on Sunday that Israel must do more to allow for the flow of aid into Gaza, including opening new border crossings, lifting unnecessary restrictions on aid deliveries and restoring services to Gaza.
“People in Gaza are starving,” Ms. Harris said. “The conditions are inhumane. And our common humanity compels us to act.”
She condemned a scene that unfolded on Thursday, when more than 100 Gazans desperate for food descended on an aid convoy and were met with what Ms. Harris called “chaos and gunfire,” after Israel opened fire on the crowd.
Israeli and Palestinian officials and witnesses have offered different accounts of the episode, with Israeli officials blaming the crush of the crowd for most of the deaths, while witnesses described extensive gunfire by Israeli forces.
“The Israeli government must do more to significantly increase the flow of aid,” Ms. Harris said. “No excuses.”
Ms. Harris’s remarks, delivered at the Edmund Pettus Bridge during a commemoration of Bloody Sunday, a major civil rights event in 1965, drew applause at points from the crowd.
On March 7, 1965, Black Americans were beaten by white law enforcement officers on the bridge for marching for their right to vote. The event was widely credited with galvanizing support for the Voting Rights Act of 1965, which passed five months later.
The New York Times
Tuambie ww waarabu wanataka nn....???Anawasaidia kwa lipi?
Wewe unazani Palestina wanahitaji chakula?
Permanent solution ndicho wanacho hitaji Palestina ni usitishwaji wa mashambulizi ambao US hataki na yy ndiye silaha zake zinatumika kuipiga Gazza.
Wew wabantu wenzio wanauliwa na waarabu kule darfur,maurtania na chad na mali.....lakini usikitiki...!!!Inasikitisha sana.