Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

Tuambie ww waarabu wanataka nn....???
Vita eeh
Mbona UN kila siku wanacho kitaka wanazungumza na tena mdaa huu kuna kikao baraza la usalama la UN ,warabu wote na karibia ya 90 ya nchi zote duniani wanacho taka mapigano ya sitishwe.
 
Dini gani inawafundisha haya? Kwamba kuna taifa halistahili huruma?

Kuweni na aibu basi.
 
Ushaanza adithi za kuwatukuza wakoloni wako wa kiarabu.......!!!
Huyo allah mwarabu hawezi kupigana na yehova myahudi


Ametakasika Allah Mola Mlezi wa Viumbe vyote. Yeye Allah ndiye Mola wa Nuh, Mola wa Ibraahim, Mola wa Musa. Mola wa Yesu, Mola wa Muhammad (Amani ya Allah iwe juu yao Mitume wote).
 
Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi.
Usimuwekee maneno ya uongo mdomoni, hajalaani Israel
Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo visivyolingana na mateso hayo.
Acha uongo. Amesema dili ipo mezani, hamas waachie mateka wakaungane na familia zao vita isitishwe angalau kwa wiki 6.
Sikiliza kwa makini hiyo clip ya Kamala Harris uliyoweka mwenyewe.
Vice President Kamala Harris on Sunday called for an “immediate cease-fire” in Gaza, saying that Hamas should agree to the six-week pause currently on the table..
Ndiyo hivyo, pause ya wiki 6, labda kupisha mfungo wa Ramadan.
“The threat Hamas poses to the people of Israel must be eliminated,” Ms. Harris added.
Vitisho vya hamas kwa watu wa Israel lazima viondolewe - Ms Harris.

Mr. Biden has been pushing for a deal between Hamas and Israel that would allow for the release of hostages and a temporary cease-fire by Ramadan, the Muslim holy month that starts around March 10.
Unaona? Kimsingi Ms Harris anatekeleza kazi iliyoanzishwa na bosi wake, rais Biden
Ms. Harris reiterated the United States’ support for Israel’s right to defend itself against the ongoing threat from Hamas, which she said had no regard for innocent life in Israel or in Gaza.
Ms Harris kasisitiza kuwa Israel ina haki ya kujilinda dhidi ya Hamas wasiojali maisha ya watu wasio na hatia Israel na Gaza.
Ms. Harris called Hamas a “brutal terrorist organization” that poses a threat to Israel and should be eliminated.
Ms Harris ameiita Hamas "Kundi katili la kigaidi" ambalo linatishia Israel na lazima lifutwe..
Hahaha.. halafu wewe unakuja na propaganda kuwa amelaani vikali Israel, thubutu!
“Hamas claims it wants a cease-fire,” she said. “Well, there is a deal on the table.”
Hamas wamedai wanataka vita isitishwe (cease-fire), Ms Harris amesema kuna dili mezani - ndiyo ile ile ya kuachia mateka wote kwanza..
 
Critisizing who done something is the highest level of hypocrisy
Kuwa na heshima kijana, pengine wewe ni mdogo kiumri kwangu, acha matusi, hoja hujibiwa kwa hoja na sio kutukana, nikiamua kukuripoti officially nakuripoti, ila nimekustahi
 
Waarabu wenyewe wanamsujudia Marekani, na unajua marekani na Ulaya serikali zao zimejaa watu kutoka wapi ? Waarabu wamesharidhika na pesa za mafuta ukitembelea nchi zao wataalamu karibia wote wanatoka nje. Kiufupi waarabu niwazaramo waliochangamka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .
 
Kuwa na heshima kijana, pengine wewe ni mdogo kiumri kwangu, acha matusi, hoja hujibiwa kwa hoja na sio kutukana, nikiamua kukuripoti officially nakuripoti, ila nimekustahi
😂😂😂😂Nakutoa uvundo kichwani kaka!
kwaiyo kama ww mkubwa ndo uongee utumbo
 

View: https://x.com/Imamofpeace/status/1765050545897623814?s=20
 
Duuu nafikiri maneno haya ya wahindu yanaweza pia kutumiwa huku kwetu pia!!
 
Tanzania ni Israeli na Wapalestina ni Nduli idd amin.
Kwanza Wapalestina walimsaidia Idd Amin kwenye vita vya Kagera
Yeah bila kusahau Israel ilimsaidia Kaburu na mreno kutandika weusi wakiwemo waTanzania walioenda kupigana msumbiji na Angola.

Hao wayahudi ndio wanaivuruga DRC ila unakuta muafrika naye anawaita wateule?
 
Waarabu wanafki wangeungana na kulani mauaji wazungu wangefata mkia lakini hawawezi kambi za mmarekani ziko kwenye nchi zao
 
Waarabu wanafki wangeungana na kulani mauaji wazungu wangefata mkia lakini hawawezi kambi za mmarekani ziko kwenye nchi zao
Ni hatari kubwa
 
Kwanini usiwasaidie wewe si ni ndugu zako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…