Kamala Harris: “Mimi ni mwanasheria, Trump ni muhalifu aliyekutwa na hatia mahakamani”

Very well said great thinker.
 
Pamoja na yote hayo kwangu Mimi dunia inamhitaji Trump kuliko wakati wowote. Kwa wale wanaofanya biashara za kimataifa wanajua dunia ilipofikia inahtaji tiba.
Mkuu ebu niambie ni kivipi Trump atasaidia biashara za kimataifa mnazofanya?
 
Kamala is not even black, like Obama she is not descendant of slaves.. although she will try to use some race card and woman card to win an election..she is more worse than Biden
 
Beberu likimgeukia asianze kulialia maana linatiririka facts tu lile. Further, lina a very clear vision about America he wants to build. Huyo mama zaidi ya zali sidhani kama ana la zaidi.
Hawa Hawa ni wale wa kupata nafasi kwa "kudra"

Jesus is Lord
 
Mkuu ebu niambie ni kivipi Trump atasaidia biashara za kimataifa mnazofanya?
Bro hujui wahouth wamesababisha container yamepanda bei kusafirisha. Au hujui vita ya Ukraine vimebadili kila kitu dunian. Hawa waarabu wakati wa Trump walimuogopa hivyo walitulia na mzee hakusababisha vita yoyote mpaka anaondoka. Yeye alikuwa ni mkwara tu anakupa unatulia. Na dunia ilikuwa kitu kimoja sasa hiv dunia imegawanyika mapande mawili makubwa ambayo ni hatar sana. So Trump angalau warusi wanamuelewa na waarabu wanamjua ni kichwa kibovu sio cha kuchezea. Dunia itulie angalau kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…