Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Waendee kwenye majimbo yao wakaone walipokosea waache kuja kutusumbua huku kama ndio tulipo wachagua
Wewe kama Mambosasa, wenyeviti wa vyama kitaifa majimbo yao ni yapi! Unataka waendeshe vyama vyao wakiwa nje ya makao makuu ya vyama! Fikiri kabla haujaandika.
 
Hilo dubwana limo kwenye orodha ya The Hague...-Hatutaki ze ze unajuwa english maana kuna lugha tano tu Kiswahili hakuna
 
Kweli washitakiwe tu, haiwezekani wawe wanatuchonganisha Kwa maneno ya ajabu Kwa maitafa ya nje! Muda wa kujenga nchi wao wanahangaikia tuanze kupigana wenyewe kwa wenyewe? Kwa masilahi ya Nani? Kwanini tunashindwa kujifunza Kwa wenzetu wa Africa?
 
Kama walishtakiwa kwa kumwua Akwilina ambayo ilikuwa uwongo sembuse hili??????
 
Back
Top Bottom