Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Zilikuwa nyakati za uovu sana.
Mno. Mwenyezi Mungu ana namna yake ya kufanya mambo. You can't imagine kwamba now watu wanafanya mikutano kama kawa utadhani hakuna uvuli wa mauti ulipita kati ya 2016 mpaka 2021. Chama tawala bila polisi ni wepesi sana by the way
 
Back
Top Bottom