Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wewe kama Mambosasa, wenyeviti wa vyama kitaifa majimbo yao ni yapi! Unataka waendeshe vyama vyao wakiwa nje ya makao makuu ya vyama! Fikiri kabla haujaandika.Waendee kwenye majimbo yao wakaone walipokosea waache kuja kutusumbua huku kama ndio tulipo wachagua
ushahidi wa nini tena mkuuUna uhakika au ushahidi usio na mashaka kwa ulichoandika?
Walikuwa wanandeshaje chama wakiwa Dodoma!?Wewe kama Mambosasa, wenyeviti wa vyama kitaifa majimbo yao ni yapi! Unataka waendeshe vyama vyao wakiwa nje ya makao makuu ya vyama! Fikiri kabla haujaandika.
Kabla ya Kigogo ilikuwa "Mange Kasema".Huyo kigogo sijui kawapaga nn vijana
Kwa viwango vya akili vya sisiem yupo sawaYupo sawa kabisa
Lini walikuwa Dodoma! And you are a Great Thinker! Hili ni tatizo JF.
Gaidi anapewa dhamana....!!!
Walitoka baada ya mabeberu kucheuaWatatoka tu.
The Hague ya mtaa wa ufipa?Hilo dubwana limo kwenye orodha ya The Hague...-Hatutaki ze ze unajuwa english maana kuna lugha tano tu Kiswahili hakuna
Huyu mambosasa ndio aliyesema Mangula kalishwa sumu , haijulikani uchunguzi wake ulikoishiaHii kesi imeishia wapi...
Hii habari ni yatoka mwaka jana. Msimbebeshe mzigo Mama Samia.
Utashangaa ukimkuta Baba yako yupo nae NdaniSafi sana Mambosasa kusanya wote hao weka ndani.
kumbe hii kesi ni kweli... hapa mbowe amechomekewa na haichomoi katika kesi hiiHuyu mambosasa ndio aliyesema Mangula kalishwa sumu , haijulikani uchunguzi wake ulikoishia