johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Dini gani?Serikali haina dini..kwanink inataka kujiingiza kwenye dini maana ukisema Ijumaa,J'mosi na J'Pili amewalenga waislam na wakristu peke yake vipi kwa dini zingine?
Mkuu umesahau information moja muhimu sana. Marufuku hii ni kwa yale makundi ya jogging,sio mtu mmoja mmoja. Sababu kubwa wale huwa wanafunga barabara.Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Mmoja mmoja unaruhusiwaVp mazoezi ya mtu mmoja mmoja
Ova
Wanasumbua sana afadhali wamezuiwa.Safi sana, wanakera sana hawa. Wengine wanatoka Yombo Buza Kwa Mpalange wanaenda kukimbia Masaki, wanaleta usumbufu barabarani
Nendeni gymSaitakuajeπ€π€
Marufuku hii ni wale wanaokimbia makundi. Ni wasumbufu sana.Wajuba muwe mnaelewa, hapo lengo ni kuzuia mikusanyiko coz la depotivo uko around.
swali: Watanzania walio wengi ni wafanyakazi na siku za weekend ndo wako mapumziko na ndo muda wa kufanya mazoezi unawazuiaje?
Muwe mnaelewa...
Neno kuu lilikuwa ni marufuku ya maandamano na jogging ikiwa sehemu yake!Mkuu umesahau information moja muhimu sana. Marufuku hii ni kwa yale makundi ya jogging,sio mtu mmoja mmoja. Sababu kubwa wale huwa wanafunga barabara.
Kama wanakimbia tegeta hadi mwenge wenye magari hawawezi kupita inabidi uwafuate hadi mwenge. Ni usumbufu kwa kweli.
Sawa.Neno kuu lilikuwa ni marufuku ya maandamano na jogging ikiwa sehemu yake!
Kweli kamanda tumeelewa........hasa wadada na vinguo vya jogging wanatusumbua sana sie waumini..............mitano tena.......acha niisake sadaka ya J2Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Huyu kapewa jina Zuri na wazazi wake Mambosasa lakini mbona anatuletea Mambo ya kizamani ?Ni muda sasa wa hii fani iwe post ya moja kwa moja aidha olevel au advanced level luepusha waliofeli kuwa changuo pendwa kwao manake nlitegemea jogging ihamasishwe kwa maslai mapana ya covid,vitambi na kisukari ila sasa badala yakeπππππ
Safi sana, wanakera sana hawa. Wengine wanatoka Yombo Buza Kwa Mpalange wanaenda kukimbia Masaki, wanaleta usumbufu barabarani
Mwanangu bora akawe mkulima kuliko kuwa Polithi! aisee tusubiri mda si mrefu utasikia magari binafsi yoote marufuku kuingia barabarani watu wapande daladala tuKamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
halafu wengi humu wanajidai wana akili kuliko... wanaowaongoza.. wengi mmechemsha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. mjifunze kusoma na kuelewa na kwenda nje ya boksi..
kulalamika mlalamike nyie.. kulaumu nyie.. mnataka nini haswaaa!!!! vitambulisho vya 2oK vipo mupate cha kufanya..
upupwu mutupu umebadika hapwo mtoto we.. unaandika swahili harafu unaandika nini ati?Kuna kipindi niliwahi kudhani we jimama una akili, hakika nilijikosea pakubwa... hukumu yangu iandikwe kwa Kiswahili na sitajisamehe.
upupwu mutupu umebadika hapwo mtoto we.. unaandika swahili harafu unaandika nini ati?
Maagizo mengine haya mi cjui hata wanayatoa wap hawa viongozi wetuKamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!