Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu umesahau information moja muhimu sana. Marufuku hii ni kwa yale makundi ya jogging,sio mtu mmoja mmoja. Sababu kubwa wale huwa wanafunga barabara.

Kama wanakimbia Tegeta hadi Mwenge wenye magari hawawezi kupita inabidi uwafuate hadi Mwenge. Ni usumbufu kwa kweli.
 
Wajuba muwe mnaelewa, hapo lengo ni kuzuia mikusanyiko coz la depotivo uko around.

swali: Watanzania walio wengi ni wafanyakazi na siku za weekend ndo wako mapumziko na ndo muda wa kufanya mazoezi unawazuiaje?

Muwe mnaelewa...
Marufuku hii ni wale wanaokimbia makundi. Ni wasumbufu sana.
 
Mkuu umesahau information moja muhimu sana. Marufuku hii ni kwa yale makundi ya jogging,sio mtu mmoja mmoja. Sababu kubwa wale huwa wanafunga barabara.
Kama wanakimbia tegeta hadi mwenge wenye magari hawawezi kupita inabidi uwafuate hadi mwenge. Ni usumbufu kwa kweli.
Neno kuu lilikuwa ni marufuku ya maandamano na jogging ikiwa sehemu yake!
 
Sasa itakuwaje aisee kwa sisi tunaopata nafasi ya Weekend tu
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Kweli kamanda tumeelewa........hasa wadada na vinguo vya jogging wanatusumbua sana sie waumini..............mitano tena.......acha niisake sadaka ya J2
 
Ni muda sasa wa hii fani iwe post ya moja kwa moja aidha olevel au advanced level luepusha waliofeli kuwa changuo pendwa kwao manake nlitegemea jogging ihamasishwe kwa maslai mapana ya covid,vitambi na kisukari ila sasa badala yake😂😂😂😂😂
Huyu kapewa jina Zuri na wazazi wake Mambosasa lakini mbona anatuletea Mambo ya kizamani ?
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Mwanangu bora akawe mkulima kuliko kuwa Polithi! aisee tusubiri mda si mrefu utasikia magari binafsi yoote marufuku kuingia barabarani watu wapande daladala tu
 
halafu wengi humu wanajidai wana akili kuliko... wanaowaongoza.. wengi mmechemsha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .. mjifunze kusoma na kuelewa na kwenda nje ya boksi..

kulalamika mlalamike nyie.. kulaumu nyie.. mnataka nini haswaaa!!!! vitambulisho vya 2oK vipo mupate cha kufanya..

Kuna kipindi niliwahi kudhani we jimama una akili, hakika nilijikosea pakubwa... hukumu yangu iandikwe kwa Kiswahili na sitajisamehe.
 
upupwu mutupu umebadika hapwo mtoto we.. unaandika swahili harafu unaandika nini ati?
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Maagizo mengine haya mi cjui hata wanayatoa wap hawa viongozi wetu
 
Back
Top Bottom