Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

ccm inanuka damu za Watanzania wasio na hatia. Ipo siku mtalipwa. Poleni makamanda wa Arusha.
 
Maandamano kwny mkutano wa chadema mlikua mnatafuta nini
 
Mbona kila jambo litakaa Mahala pake ,wakati huo wengine watatamani kurudi matumboni mwa mama zao ,mabadiliko ni lazima waliobaki niwakuelekezwa tu.
 
Chadema Fujo haiwafikishi ikulu..
bado sana mkiongozwa na vichwa vya bange za kaskazini mtaambulia aibu tu.

Hata kwenye msiba leo wamefanya hayohayo. mnajizika wenyewe.
 
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm

Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples

Sheria inasemaje? Kwa nini walipita jirani na mkutano wa chama kingine?

Nikisema ni uchochezi wa dhahiri, nitakuwa nimekosea?
 
hizo vurugu ni kamanda mawazo na wahuni wenzake wameziandaa makusudi kujipigia promo....! polisi mkamateni mawazo mara moja hizo vurugu ni yeye mwenyewe amezipanga...

Maneno yako yananuka damu. Huna hata utu kwa Watanzania wenzako?
 
Hizo ni dalili ya Dola kuelekea kuanguka,Maccm siasa zinawashinda.Makamanda hakuna kurudi nyuma bado dk 5 tushangilie ushindi.
 
siamini chochote mpaka nione picha, siku hizi ushabiki wangu kwa CDM wa machale.
 
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm

Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples

Mods huu uzi ni wa kizushi na hauna ushahidi wowote ufuteni na aliye uweka aligwe life ban kwa uzushi na uchochezi.kuna uzi wa maguzu masese umeelezea ki uhalisia jinsi tukio lilivyokua.
 
Last edited by a moderator:

We mkorofi sana wewe! Hivi unadhani unaweza kuishi kwa ubabe tu we k.........ma we!
 
Mods huu uzi ni wa kizushi na hauna ushahidi wowote ufuteni na aliye uweka aligwe life ban kwa uzushi na uchochezi.

uzushi uko wapi? huo ndio ukweli wenyewe...! wewe ndio unatakiwa ule ban kwa uzushi wako huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…