Hizo ni story za kutafuta umaarufu Huyo mawazo wamtake wanini? wekeni picha vinginevyo ni ulaghai tu
ni mvuta bange maarufu wa arusha...alikuwa ni msaidiz wa lema kwenye ile biashara yake ya wizi wa magari...
Kamanda JF siyo mali ya Chadema kuwa mvumilivu ndiyo siasa wewe unataka JF wakufurahishe wewe hili ni jukwaa huru.
sio kweli mie nilikuwepo kweli ugonvi umetokea watu kurushiana mawe lakini mda si mrefu polisi kutokea field force maeneo ya kwa MOROMBOndo walikuja kutuliza ghasia hizo ila hakuna aliyeumia.
akili ya magamba ni ya ajabu sana,yani mchinje watu mseme ikulu,subirini mtavyo nyolewa 2015,akili za makalioChadema Fujo haiwafikishi ikulu..
bado sana mkiongozwa na vichwa vya bange za kaskazini mtaambulia aibu tu.
Hata kwenye msiba leo wamefanya hayohayo. mnajizika wenyewe.
Mvuta bange
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm
Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples
Wanna know me real?you don't need to