Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,366
- 5,209
Tuliza MunkariTunasubiri Maandamano Ya Mitandaoni tukiwa nyuma ya Keyboard....!
Hahahaaaa.......!Tuliza Munkari
Ukimuogopa mtuu humkimbia, unayemfukuza ni yule uliye mdharau.Utaskia RPC wa Mwanza anasema Mbowe hakumtaarifu kama ataenda Mwanza hivyo ageuzie njiani, vinginevyo Mbowe akiongozana hata na wanachama wawili wa Chadema au wananchi wasio na chama, ataambiwa anafanya maandamano yasiyo na kibali, CCM wanamuogopa sana Mbowe.
Mhudumie mumeo,acha kudandia issue za watu!Tunasubiri Maandamano Ya Mitandaoni tukiwa nyuma ya Keyboard....!
Hujui unachokiongea siku ukijua na kufahamu utajijutia Sana endelea na dharau wako waliokua kwenye mamlaka lkn leo wako magerezani sijui ww uko upande gani mpaka ufanye dhihaka kama hiyoTunasubiri Maandamano Ya Mitandaoni tukiwa nyuma ya Keyboard....!
Hebu tuliza kishundu hicho shughuli ya kiumeni hii wewe kamfulie mumeo boxer zakeTunasubiri Maandamano Ya Mitandaoni tukiwa nyuma ya Keyboard....!
Mbowe kwenda Mwanza ndio vurugu? hujielewi.Kwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?
Wewe mhutu hapa Tanzania unatafuta nini?Hivi huyu Mbowe anatafuta kitu Gani Mwanza wakati kwao ni Kilimanjaro kwann asikae kwao Kilimanjaro
Kamanda Mbowe aka (TONDO) ,yaani kikwetu TONDO ni mtu mjinga mjinga
Kwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?