Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Hatutaki machafuko hukuKwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?
Hatutaki machafuko hukuKwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?
Jibuni swali kwa nini sio Moshi?Acha ubaguzi bwege ww hii nchi niya wote bila mipaka ww hapo ulipo nikwenu?
Kwani mwanza siyo Tanzania?Jibuni swali kwa nini sio Moshi?
Hii ni Chokochoko kabisa hii, Aache msiba mbichi aende Mwanza,
Ila machafuko mnawapelekea sukuma gang?Hatutaki machafuko huku
🤣🚶Ila machafuko mnawapelekea sukuma gang?
Bora yeye kuwa tondo kuliko wewe isembo!Kule watu wanajielewa hakuna wa kumsikiliza ,mwache aende kudanganya hao wengine ila wanachofurahisha siku ya upigajibkura wanamwadhibu ,akishaadhibiwa anakimbilia kuibiwa kura ,shame on you poor Mbowe aka (TONDO)
Hata ukimtukana mbowe kakuzidi kila kitu.Si mtukani bali ndio ukweli ,kwani sio TONDO ?
Una hakika?Katiba Mpya wakati iliyopo hata huifahamu.
Ww mataga mnafiki mkubwa shetani ww toa unafki wako hapa
Kama mbowe ni mjinga mjinga basi ww hakika ubongo wako either umeoza or umejaa maviKamanda Mbowe aka (TONDO) ,yaani kikwetu TONDO ni mtu mjinga mjinga
Naomba ujiheshimu.Huko lumumba siku hizi hamlipwi Kamanda Asiyechoka ?
Pipili usizozila za kuwaishia nini!!?Una hakika?
Huyo taga hajitambuiHuko lumumba siku hizi hamlipwi Kamanda Asiyechoka ?