Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

Mashujaa wa kweli wapo barabarani wakishinikiza Jackob Zuma aachiwe,
Bavicha wapo nyumanya keyboard wakisubiri twits za Msigwa na Lema, aibuuuu!

Siku hizi kuna mtu anaitwa Kigogo ndio kabisa anawapoteza na wanaamini kabisa kuwa wanaweza kupata wanachokitaka kupitia maandiko ya akina Kigogo na kundi lake,very low kwa kweli ,nimenza kuamini kuwa kisomo kinasaidia
 
Hujui unachokiongea siku ukijua na kufahamu utajijutia Sana endelea na dharau wako waliokua kwenye mamlaka lkn leo wako magerezani sijui ww uko upande gani mpaka ufanye dhihaka kama hiyo

Mtusubiri saaana ,fungeni kabisa na maombi juu labda mtasikilizwa ,yule mpuuzi alipmba kukutana na mama yetu kichwa kikawa kikubwa akaanza kubwabwaja ,tunamshukuru sana mama yetu kumfekelea mbali
 
Watu wa mitandaoni mbona uungaji mkono wenu kwa chadema na viongozi wenu, hasira zake huwa zinaishia humu tu kututukana na hamchukui hatua zozote ukilinganisha na hasira zenu hapa na matusi yenu pia

Nisiwafiche, niwaambie ukweli kwamba, hata hili la katiba litafeli kwa sababu yenu pia
unajuaje kama sio hawa walioko huko!
 
Kule ni aibu ,hawezi pata mtu ,kakimbili kule ambako hawajamka bado
Mbona huko hana hata mbunge hata mmoja? Kule wanamchora tu wanamuona bwege tu akitoka tu wanaendelea na mambo yao.
 
Watu wa mitandaoni mbona uungaji mkono wenu kwa chadema na viongozi wenu, hasira zake huwa zinaishia humu tu kututukana na hamchukui hatua zozote ukilinganisha na hasira zenu hapa na matusi yenu pia

Nisiwafiche, niwaambie ukweli kwamba, hata hili la katiba litafeli kwa sababu yenu pia
Uko upande wa fisi?
 
Mashujaa wa kweli wapo barabarani wakishinikiza Jackob Zuma aachiwe,
Bavicha wapo nyumanya keyboard wakisubiri twits za Msigwa na Lema, aibuuuu!
Kupora bidhaa madukani kumtetea mla rushwa ni ushujaa?
 
Wasukuma uko wameshawastukia nyinyi ni matapeli. Katiba mpya kwani isianzie Moshi nyumbani kwenu?
Unaandika pumba sana, Katiba Mpya movement imekuwa inafanyika Tanzania yote, huu ukabila wako ni ushamba ilikuwa propaganda ya mwaka "90.
 
Unaandika pumba sana, Katiba Mpya movement imekuwa inafanyika Tanzania yote, huu ukabila wako ni ushamba ilikuwa propaganda ya mwaka "90.
Katiba Mpya wakati iliyopo hata huifahamu.
 
Amefanya vema sana Mh. Mbowe. Nina hakika kwa jinsi nchi hii inavyotawaliwa kiharamia, bila wananchi wenyewe kuchukua hatua, hakuna mwanga wa matumaini kwetu wala kwa vizazi vijavyo.
Mkuu kwa sasa inaonyesha dhahili pasipo na shaka yeyote kwa CDM ndio inayotegemewa kuleta mabadiliko, lakini katika hali halisi CDM hawezi kuleta mabadiliko hayo peke yake na hatimaye kufanikisha lengo hilo, hakuna wa kumsaidia, amebaki peke yake. Hata vile vyama vya wafanyakazi ambavyo vilikuwa madhubuti vimejifia siku nyingi kutokana na sumu ya chama tawala. Taasisi za Serikali za kisheria na NGOs, ziwe za Haki za Binadamu na nyinginezo ziko mahututi. Hivyo kuilaumu CDM ambayo imebaki peke yake imara juu ya jambo hili ni kionea bure. TUJIULIZE "MIMI NAWAJIBIKAJE KWENYE HILI"
 
Back
Top Bottom