Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

Watu wa mitandaoni mbona uungaji mkono wenu kwa chadema na viongozi wenu, hasira zake huwa zinaishia humu tu kututukana na hamchukui hatua zozote ukilinganisha na hasira zenu hapa na matusi yenu pia

Nisiwafiche, niwaambie ukweli kwamba, hata hili la katiba litafeli kwa sababu yenu pia
 
CHADEMA wangeipisha kwanza hii Samia anayoita third wave ipite.
 
Utaskia RPC wa Mwanza anasema Mbowe hakumtaarifu kama ataenda Mwanza hivyo ageuzie njiani, vinginevyo Mbowe akiongozana hata na wanachama wawili wa Chadema au wananchi wasio na chama, ataambiwa anafanya maandamano yasiyo na kibali, CCM wanamuogopa sana Mbowe.
 
Ukimuogopa mtuu humkimbia, unayemfukuza ni yule uliye mdharau.
 
Mashujaa wa kweli wapo barabarani wakishinikiza Jackob Zuma aachiwe,
Bavicha wapo nyumanya keyboard wakisubiri twits za Msigwa na Lema, aibuuuu!
 
Kwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?

Kule watu wanajielewa hakuna wa kumsikiliza ,mwache aende kudanganya hao wengine ila wanachofurahisha siku ya upigajibkura wanamwadhibu ,akishaadhibiwa anakimbilia kuibiwa kura ,shame on you poor Mbowe aka (TONDO)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…