Mashujaa wa kweli wapo barabarani wakishinikiza Jackob Zuma aachiwe,
Bavicha wapo nyumanya keyboard wakisubiri twits za Msigwa na Lema, aibuuuu!
Mwambie aende Moshi na Arusha!
Hujui unachokiongea siku ukijua na kufahamu utajijutia Sana endelea na dharau wako waliokua kwenye mamlaka lkn leo wako magerezani sijui ww uko upande gani mpaka ufanye dhihaka kama hiyo
unajuaje kama sio hawa walioko huko!Watu wa mitandaoni mbona uungaji mkono wenu kwa chadema na viongozi wenu, hasira zake huwa zinaishia humu tu kututukana na hamchukui hatua zozote ukilinganisha na hasira zenu hapa na matusi yenu pia
Nisiwafiche, niwaambie ukweli kwamba, hata hili la katiba litafeli kwa sababu yenu pia
Mwambie aende Moshi na Arusha!
Mbona huko hana hata mbunge hata mmoja? Kule wanamchora tu wanamuona bwege tu akitoka tu wanaendelea na mambo yao.Kule ni aibu ,hawezi pata mtu ,kakimbili kule ambako hawajamka bado
Mbona unamtukana mzazi wa mwenzako?Kamanda Mbowe aka (TONDO) ,yaani kikwetu TONDO ni mtu mjinga mjinga
Si mtukani bali ndio ukweli ,kwani sio TONDO ?Mbona unamtukana mzazi wa mwenzako?
Mbona huko hana hata mbunge hata mmoja? Kule wanamchora tu wanamuona bwege tu akitoka tu wanaendelea na mambo yao.
Wasukuma uko wameshawastukia nyinyi ni matapeli. Katiba mpya kwani isianzie Moshi nyumbani kwenu?Mbowe kwenda Mwanza ndio vurugu? hujielewi.
Uko upande wa fisi?Watu wa mitandaoni mbona uungaji mkono wenu kwa chadema na viongozi wenu, hasira zake huwa zinaishia humu tu kututukana na hamchukui hatua zozote ukilinganisha na hasira zenu hapa na matusi yenu pia
Nisiwafiche, niwaambie ukweli kwamba, hata hili la katiba litafeli kwa sababu yenu pia
Kupora bidhaa madukani kumtetea mla rushwa ni ushujaa?Mashujaa wa kweli wapo barabarani wakishinikiza Jackob Zuma aachiwe,
Bavicha wapo nyumanya keyboard wakisubiri twits za Msigwa na Lema, aibuuuu!
Umelewa ulanzi.....Hivi huyu Mbowe anatafuta kitu Gani Mwanza wakati kwao ni Kilimanjaro kwann asikae kwao Kilimanjaro
Wana tofauti gani na hao wanaomtete Mbowe awe Mwenyekiti wa kudumu?Kupora bidhaa madukani kumtetea mla rushwa ni ushujaa?
Unaandika pumba sana, Katiba Mpya movement imekuwa inafanyika Tanzania yote, huu ukabila wako ni ushamba ilikuwa propaganda ya mwaka "90.Wasukuma uko wameshawastukia nyinyi ni matapeli. Katiba mpya kwani isianzie Moshi nyumbani kwenu?
Waliopata bahati ya kuzaliwa bila akili .Hivi huyu Mbowe anatafuta kitu Gani Mwanza wakati kwao ni Kilimanjaro kwann asikae kwao Kilimanjaro
Acha ubaguzi bwege ww hii nchi niya wote bila mipaka ww hapo ulipo nikwenu?Kwa nini vurugu hizi awafanyii kwao Moshi?
Katiba Mpya wakati iliyopo hata huifahamu.Unaandika pumba sana, Katiba Mpya movement imekuwa inafanyika Tanzania yote, huu ukabila wako ni ushamba ilikuwa propaganda ya mwaka "90.
Mkuu kwa sasa inaonyesha dhahili pasipo na shaka yeyote kwa CDM ndio inayotegemewa kuleta mabadiliko, lakini katika hali halisi CDM hawezi kuleta mabadiliko hayo peke yake na hatimaye kufanikisha lengo hilo, hakuna wa kumsaidia, amebaki peke yake. Hata vile vyama vya wafanyakazi ambavyo vilikuwa madhubuti vimejifia siku nyingi kutokana na sumu ya chama tawala. Taasisi za Serikali za kisheria na NGOs, ziwe za Haki za Binadamu na nyinginezo ziko mahututi. Hivyo kuilaumu CDM ambayo imebaki peke yake imara juu ya jambo hili ni kionea bure. TUJIULIZE "MIMI NAWAJIBIKAJE KWENYE HILI"Amefanya vema sana Mh. Mbowe. Nina hakika kwa jinsi nchi hii inavyotawaliwa kiharamia, bila wananchi wenyewe kuchukua hatua, hakuna mwanga wa matumaini kwetu wala kwa vizazi vijavyo.