Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

Hahaha mtahama tu, ngoja Lisu wenu ashindwe kisha awaamulie muende wapi, maana hamuwezi kufanya maamuzi bila kuambiwa na Lisu.

Mbowe atabaki na CDM nyie mtaenda kutangatanga huko, mpaka Lisu akipata pa kwenda, nanyi mtamfuata mkafanye fujo, kelele, na mihemko yenu huko.

Mbowe alikuwa chadema bila nyie, na ataendelea kuwa chadema mkiondoka.

Hawezi kujiuzuru, kwasababu wapiga kelele mmeondoka au mmekaa kimya, au kampaign zime fail, CCM inashinda kila uchaguzi, sasa nini kitakuwa kipya?

Nyie wajuaji na wenye mihemko, kaanzisheni chama chenu mkapige kelele huko mshinde.

Nasikia mnatamani kujiunga na mzee wa ubwabwa, kwanini mkamtese mzee wa watu na fujo zenu, msajiri chama chenu, Lisu awe mwenyekiti wa kudumu.
 
View attachment 3188307

Kwanini nyie msiende kusajiri vyenu?
Sisi tunayo CDM, nyie wajuaji ndio mnatamani visivyo vyenu.

Mnaye wakili msomi mtaalamu wa katiba, wanachama wa TLS wako nyuma yenu.

Undeni katiba yenu, wanachama mnao wa kutosha, nendeni kwa msajiri wa vyama vya siasa mkasajiri chama chenu, mkapigizane kelele huko na mihemko yenu.
 
Upo sahihi mkuu
 
Dalili nzuri sana hii kwa ushindi wa Lissu straight forward, nawahurumia waganga njaa na chawa zake wataishije?
 

CDM ipi mliyo nayo nyie?



Ngoja tuone.
 
Hahaha sisi hatujali kuwa na wanachama au mashabiki wawili.
Maana ni bora wawili wastaarabu kuliko, kuwa na wengi kama nyie wapiga kelele na mihemko.

Chama ni watu ndugu:

 
Your browser is not able to display this video.
 
Tuletee hao waliouwawa tuwape card za uanachama.

Nanyi kufeni tuthibitishe maneno yenu. Wenye fujo na wasio na staha hatuwahitaji CDM.

Bila shaka yenu hajafa mtu wala kupotea.

Kwa hakika abduli ni mwenzenu!
 
hiyo ni biashara yake huwezi mshauri kitu anajua anachokifanya
anzisheni chadema yenu kama mnaona ni rahisi
 
Mbowe kafuja pesa nyingi ya chama anaogopa kuingiza uongozi mpya akihofia msala wa ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…