Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia:
Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

Wakuu

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
Hata wewe Muliro ukiingia anga zetu wananchi bila uniforms tutakupa kipigo tu
 
Wakuu

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
kemea pia chanzo cha haya yote ni polisi kutofanya kazi yao sasa imefika kipindi hatuaminiani.
 
Wakuu

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230

Kwani TRA wamekuwa Traffic Police wa kusimamisha magari barabarani tena usiku mnene au kamanda uliwanyima polisi wa kufanya nao kazi??
Ukifanya kazi nje ya taratibu za ukamataji tegemea majibu nje ya utaratibu pia.
Kamanda kwa hapo naona hakuna geni kabisa.
 
Wakuu

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
Hili nalo dishiiiii.
Walishindwa kushirikiana na askari polisi wenye uniform kufanya huo ukamataji kama tume ya haki jinai ilivyopendekeza?

Mi ije taasisi yoyote kunikamata bila kufuata utaratibu afu waone kinachofuata, nina haki ya kujilinda kama sheria inavyosema, na nitaitumia ipasavyo hata kama itapelekea kifo, nitaua
 
Kuna harufu ya wasiojulikana hapa
 
Back
Top Bottom