Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

Wakuu,

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia:
Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
Huyu mjinga hajakemea kuuawa kwa mzee Kibao anakuja kukemea kushambuliwa kwa vikosi vyao vya utekaji.

Wajipange vizuri maana wananchi hawana imani na vikosi vya ndani vya serikali. Ugaidi dhidi ya raia umezidi sana hasa hawa akina Muliro wanashiriki siasa za kulinda wahalifu ndani ya dola.

Mafwere must face charges
 
Wakuu,

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia:
Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
Wakuu,

Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:

"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"

Soma pia:
Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

View attachment 3170230
UYu maku kweli mbna akemei watu wanao uwawa nq kutekwa
 
Ndio tunakoelekea huko, nchi itakuwa na magenge ya wahalifu wenye silaha nzito kama Mexico, Colombia
Au Tunaelekea kwenye Mapinduzi ya kijeshi (Coup d'etat) au vita ya mwenyewe kwa wenyewe (civil war) kama DRC Congo, Sudan
Sababu itatokana na tunao wapa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
 
...Hoping for the best but expecting the worst
Are you gonna drop the bomb or not?...
Forever young~Jay z ft. Mr Hudson

Hii hali mbaya sana kwa ustawi wa Taifa
 
Back
Top Bottom