Hata wewe Muliro ukiingia anga zetu wananchi bila uniforms tutakupa kipigo tuWakuu
Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:
"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"
Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam
View attachment 3170230
kemea pia chanzo cha haya yote ni polisi kutofanya kazi yao sasa imefika kipindi hatuaminiani.Wakuu
Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:
"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"
Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam
View attachment 3170230
Newton's Third LawWasimamizi wa Sheria watimize majukumu yao kwa Kufuata Miongozo ya Kisheria.
Wasimamizi wakikengeuka na raia watakengeuka.
Wakuu
Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema:
"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"
Soma pia: Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam
View attachment 3170230
Hili nalo dishiiiii.Wakuu

NashangaaVipi kuhusu watekaji wengine? Haoni kwa hatua wananchi waliyochukua wamepoteza imani na jeshi lake?
Kuna harufu ya wasiojulikana hapaHili nalo dishiiiii.
Walishindwa kushirikiana na askari polisi wenye uniform kufanya huo ukamataji kama tume ya haki jinai ilivyopendekeza?
Mi ije taasisi yoyote kunikamata bila kufuata utaratibu afu waone kinachofuata, nina haki ya kujilinda kama sheria inavyosema, na nitaitumia ipasavyo hata kama itapelekea kifo, nitaua
Si ndio karibu na Ununio?Tegeta Kwa Ndevu
Ndevu Nyomi