Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

Acha raia wajilinde, kifo ni kifo tu
Kwa hiyo raia kuuawa na kutekwa ndiyo inavumilika?
 
Vyombo vyovyote vya serikali hasa vyenye umabatano wa law enforcement haviaminiki kamwe labda jua lianze kutokea kusini kwenda kasikazini. The citizens have now reached a point of no return, and the worst is forthcoming.
 
yaani ukifanya uhalifu nje ya system unashughulikiwa kisawa sawa....hao wanaofanya uhalifu ndani mbona hamuwashughulikiii....waliomteka roma,nondo,na yule dr ulimboka....waliomuua ally hamtakaa muwapate lakini hawa wenye raumu aaah chap tu
 
Itakua mm ndio sijui.kwani TRA ndio wanawachukua njiani walipa kodi? Au mpk eneo lako la KAZI/ofisi?
All the best
 
Wakishindwa kuteka ni serikali ilikuwa kazini, wakifanikiwa ni watu wasiojulikana! Okay
 
"Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo haivumiliki na wasimamizi wa sheria wataendelea kutimiza majukumu yao wahalifu wataendelea kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria"
Endelea tu kuleta kiburi, hahahahaaa mnawatia kwenye matatizo watoto wa wenzenu
 
Vitendo vya utekaji amesikika sehemu yoyote akikemea?
 
Sawa bwàna maana sijasikia wàtekaji wakikemewa. Hongera polisi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…