Kamanda Muliro akemea kushambuliwa kwa watumishi wa TRA waliodhaniwa kuwa watekaji

🀣🀣🀣 Huyu si akagombee Ubunge viti maalumu JESHI LA POLISI??πŸ€”πŸ€”
 
Ndio tunakoelekea huko, nchi itakuwa na magenge ya wahalifu wenye silaha nzito kama Mexico, Colombia
Au Tunaelekea kwenye Mapinduzi ya kijeshi (Coup d'etat) au vita ya mwenyewe kwa wenyewe (civil war) kama DRC Congo, Sudan
Tayari magege yapo
Lipo la Uvccm linalo milikiwa na SSH 2025 linavitendea kazi kuanzia pikipiki maV8 na helikopta zinakuja

Nchi haipo salama kabisa kwa mtindio huu
 
Wenye Sheria ni polisi au wananchi?
 
Muhimu wapigwe wauwawe hata 20 hivi wajue uchungu wa wanafamilia waliotekwa kama Soka.
 
Umeweza kama mimi. Kama wangeweza kuondoka na jamaa sidhani kama tungeambiwa kuwa ni maafisa wa TRA.
Wangefanikiwa kumteka wangewakana, vijana wa UVCCM ungeona comments zao humu kwamba jamaa labda kadhulumu mali za watu au ametembea na mke wa mtu hivyo ni revenge za kitaa zisizohusiana na vyombo vya dola.
 
Ndio tunakoelekea huko, nchi itakuwa na magenge ya wahalifu wenye silaha nzito kama Mexico, Colombia
Au Tunaelekea kwenye Mapinduzi ya kijeshi (Coup d'etat) au vita ya mwenyewe kwa wenyewe (civil war) kama DRC Congo, Sudan
Maana Mexico tunaona sahv kuna magenge yana polisi wao
Wanavamia watu wao vitu vya polisi kuwatoa,majaji wanasheria wanauliwa yaani ubabe ubabe
Na yote hayo system ndy imetengeneza kufanya iwepo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…