Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni very unprofessional na anaonekana ni mtu wa shari na mwenye hasira wakati wote...Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani.
View attachment 3172450
Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu.
Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na Katiba. Mnatoa matamko bila mizania ya matokeo yake.
Mimi kama raia ninatoa ushauri kwenu kwamba, makachero mliowamwaga mitaani kuwasaka wakosoaji na wapinzani wanaochipukia hawawezi kufagia wote. Wanachokipata sasa ni kukosa ushirikiano na hiyo kupelekea taarifa nyingi kupikwa ili malkia aendelee kuamini kuwa mna uwezo wa KUWAZIMA wananchi wanaolilia haki zao.
Tamko ulilolitoa ni budi ikalirejea kwa uzingativu wa alignment kwa Katiba, Sheria na kanuni rasmi. Afisa ama mtumishi wa umma anayekiuka utaratibu anapotekeleza majukumu yake anakuwa ametenda makosa ambayo yanagharimu Haki, Utu na kuichafua serikali.
Askari anapomvamia na kumkwapua raia anayetuhumiwa bila kuzingatia taratibu za ukamataji salama ni wazi anatenda kosa. Wananchi wengi wametekwa haujaleta majibu ya uchunguzi. Ametekwa Ali Kibao kwa mitutu mizito mchana kweupe na kwenda kuuawa mpaka leo hakuna ripoti ya uchunguzi wala waliokamatwa.
Hivyo unavyowatishia wananchi ili waendelee kuwa kondoo wanapotekwa nyara na vyombo vya dola ni wazi kwamba mmeshakolea na kujiamini kwamba matendo ya kigaidi wanayofanyiwa raia ni sawa tu.
Mkuu Muliro, tumia ulimi na ufahamu wako kwa tija na siyo kututishia kwani chuki dhidi yenu imeshaenea vya kutosha. Asiwepo wa kuwasha utambi
Mungu atulindeMkuu
Kiburi cha ukuu kimewafunika.
Kauli zake zimeizamisha Tanzania.
Anatuwinda usiku na mchana atutokomeze sisi wakosoaji
Genge la kuteka na kuua watu limeshaizidi Nguvu serikali.Mimi bado sielewi umuhimu wa hili wimbi jipya la utendaji kazi ya kipolisi. Hivi kuna sababu zipi hasa za polisi kufanya kazi nje ya taratibu zilizopo? Kwa nini pawepo na umuhimu wa kundi la kuteka watu? Hili mimi bado sijalielewa vizuri?
Umeshauri vyema Sana sana ila la kufa ni la kufa tuMkuu Muliro, tumia ulimi na ufahamu wako kwa tija na siyo kututishia kwani chuki dhidi yenu imeshaenea vya kutosha. Asiwepo wa kuwasha utambi
Katika vyombo vya ulinzi tanzania vya hovyo sana ni iesho la polisi wakifuatiwa na TISS hawa watu wanajiona wako juu ya sheria zote za nchi hii kisa tu kuwafurahisha wanasiasaKatika jeshi lililopo Mambo ya Ndani lililoimarika ni hawa jamaa wa magereza.
Polisi hawajui tu
Ukweli ni Upi LucasAcha uongo na uzushi wako hapa.
Huyu akitekewa mtot ama mke ndiyo ataona umuhimu wa kusimamia kama makamanda ambao mamlaka zimewaamini wakala viapo ili kutekeleza majukumu yao.Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani.
View attachment 3172450
Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu.
Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na Katiba. Mnatoa matamko bila mizania ya matokeo yake.
Mimi kama raia ninatoa ushauri kwenu kwamba, makachero mliowamwaga mitaani kuwasaka wakosoaji na wapinzani wanaochipukia hawawezi kufagia wote. Wanachokipata sasa ni kukosa ushirikiano na hiyo kupelekea taarifa nyingi kupikwa ili malkia aendelee kuamini kuwa mna uwezo wa KUWAZIMA wananchi wanaolilia haki zao.
Tamko ulilolitoa ni budi ikalirejea kwa uzingativu wa alignment kwa Katiba, Sheria na kanuni rasmi. Afisa ama mtumishi wa umma anayekiuka utaratibu anapotekeleza majukumu yake anakuwa ametenda makosa ambayo yanagharimu Haki, Utu na kuichafua serikali.
Askari anapomvamia na kumkwapua raia anayetuhumiwa bila kuzingatia taratibu za ukamataji salama ni wazi anatenda kosa. Wananchi wengi wametekwa haujaleta majibu ya uchunguzi. Ametekwa Ali Kibao kwa mitutu mizito mchana kweupe na kwenda kuuawa mpaka leo hakuna ripoti ya uchunguzi wala waliokamatwa.
Hivyo unavyowatishia wananchi ili waendelee kuwa kondoo wanapotekwa nyara na vyombo vya dola ni wazi kwamba mmeshakolea na kujiamini kwamba matendo ya kigaidi wanayofanyiwa raia ni sawa tu.
Mkuu Muliro, tumia ulimi na ufahamu wako kwa tija na siyo kututishia kwani chuki dhidi yenu imeshaenea vya kutosha. Asiwepo wa kuwasha utambi
Hao hao serikali wana dhani kuwatia uoga wananchi itawasaidia akina Samia kubaki madarakani! Hawajui kinyume chake ndilo jibu.Genge la kuteka na kuua watu limeshaizidi Nguvu serikali.
Maana iko kimya kama hakuna kitu kinatokea.
Kiburi cha madaraka kinawasumbua sana. Sijajua ni lini jeshi litafanya kazi kitaaamu bila kufuata matakwa ya wanasiasa. Ila wanakotupeleka sio kabisa. Wanatujengea usuguKuna kauli Mama inabidi azifute kwanza. Tuanze upya.
Mkuu 'Bush', naomba nikuulize swali, pengine unayo maoni juu yake, na ni sehemu ya mjadala huu unao endelea hapa.Mungu atulinde
Bashungwa kapelekwa pale ili abebeshwe lawama zote zitokanazo na MasauniMkuu 'Bush', naomba nikuulize swali, pengine unayo maoni juu yake, na ni sehemu ya mjadala huu unao endelea hapa.
Unadhani kumwondoa Masauni pale wizarani ni dalili za huyu mama kuanza kutambua kuwa mbinu walizo dhani zitafanya kazi sasa zinaonyesha zinatibua?
Huyo Bashungwa ataweza kupeleka mabadiliko yoyote, ili kuondokana na haya yaliyo zuka siku hizi?
Kwa kifupi: Kuna mategemeo ya mabadiliko kwa uteuzi na utenguzi huu ulio fanyika kwenye wizara hiyo?
Huyo muuaji mwenye IQ ndogo anatutisha? Mtekaji na mjinga mkubwa asiye na aibu, alituambia eti Sativa aliokolewa na polisi? Kuteka ndiyo kuokoa. Hawa polisi inaonekana bado hawataki kujifunza. Wao ni kupiga watu wasio na makosa, hata kama wana makosa kwanini wasiwakamate kistaarabu? wanavunja watu mbavu, miguu na nchi hii haina matibabu ya maana, wanazidi kuongeza vilema katika nchi yetu. HIvi ninyi polisi au Polisiccm ni wazuri kwa kitu gani?Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani.
View attachment 3172450
Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu.
Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na Katiba. Mnatoa matamko bila mizania ya matokeo yake.
Mimi kama raia ninatoa ushauri kwenu kwamba, makachero mliowamwaga mitaani kuwasaka wakosoaji na wapinzani wanaochipukia hawawezi kufagia wote. Wanachokipata sasa ni kukosa ushirikiano na hiyo kupelekea taarifa nyingi kupikwa ili malkia aendelee kuamini kuwa mna uwezo wa KUWAZIMA wananchi wanaolilia haki zao.
Tamko ulilolitoa ni budi ikalirejea kwa uzingativu wa alignment kwa Katiba, Sheria na kanuni rasmi. Afisa ama mtumishi wa umma anayekiuka utaratibu anapotekeleza majukumu yake anakuwa ametenda makosa ambayo yanagharimu Haki, Utu na kuichafua serikali.
Askari anapomvamia na kumkwapua raia anayetuhumiwa bila kuzingatia taratibu za ukamataji salama ni wazi anatenda kosa. Wananchi wengi wametekwa haujaleta majibu ya uchunguzi. Ametekwa Ali Kibao kwa mitutu mizito mchana kweupe na kwenda kuuawa mpaka leo hakuna ripoti ya uchunguzi wala waliokamatwa.
Hivyo unavyowatishia wananchi ili waendelee kuwa kondoo wanapotekwa nyara na vyombo vya dola ni wazi kwamba mmeshakolea na kujiamini kwamba matendo ya kigaidi wanayofanyiwa raia ni sawa tu.
Mkuu Muliro, tumia ulimi na ufahamu wako kwa tija na siyo kututishia kwani chuki dhidi yenu imeshaenea vya kutosha. Asiwepo wa kuwasha utambi
Anasubiria posho tu, raha sana nchi hii.Sasa kama DCI anasinzia kwenye kikao wewe unatarajia nini?View attachment 3172487
Hahaha SYRIA leo wameanza sherehe za UHURU, nasi tutafika tu siku moja.Huyo muuaji mwenye IQ ndogo anatutisha? Mtekaji na mjinga mkubwa asiye na aibu, alituambia eti Sativa aliokolewa na polisi? Kuteka ndiyo kuokoa. Hawa polisi inaonekana bado hawataki kujifunza. Wao ni kupiga watu wasio na makosa, hata kama wana makosa kwanini wasiwakamate kistaarabu? wanavunja watu mbavu, miguu na nchi hii haina matibabu ya maana, wanazidi kuongeza vilema katika nchi yetu. HIvi ninyi polisi au Polisiccm ni wazuri kwa kitu gani?