Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Wanasema huyo Dr anajulikanaView attachment 3321581View attachment 3321582
KWA SABABU POLISI WETU NI CCM HAKUNA KITU WATAFANYWA WALA KUHOJIWA !!! HII NCHI INAHITAJI NGUVU YA ZIADA KUTOKA HAPA
😀😀😀Mbwembwe tu,atibu majeraha, November apige makofi wakati samia akiapishwa
Huyu mtu ni mwana CCM aliyekaribu sana na viongozi wa juu. Hata Bashite na Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM wanamfahamu. Angalia picha hapaHayo ni ma parody accounts sio watu halisi
Utashangaa linaendeshwa na mwenezi wa ccm😁
Kwa hiyo!?Huyu mtu ni mwana CCM aliyekaribu sana na viongozi wa juu. Hata Bashite na Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM wanamfahamu. Angalia picha hapa
View attachment 3321624
View attachment 3321625 Hapa yupo na kinara wa WASIOJULIKANA Daud Bashite Mkuu wa Mkoa wa Arusha mwaka 2022
View attachment 3321626 Hapa yuko na Bashiru Ally Kakurwa, mtu wa karibu wa Magufuli ambaye ndiye aliyeasisi mambo ya kutekana na kuua wakosoaji.
Basi tufanye samia hausiki magufuli ndiye amemshambulia fr kutuma🤣🤣🤣Huyu mtu ni mwana CCM aliyekaribu sana na viongozi wa juu. Hata Bashite na Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM wanamfahamu. Angalia picha hapa
View attachment 3321624
View attachment 3321625 Hapa yupo na kinara wa WASIOJULIKANA Daud Bashite Mkuu wa Mkoa wa Arusha mwaka 2022
View attachment 3321626 Hapa yuko na Bashiru Ally Kakurwa, mtu wa karibu wa Magufuli ambaye ndiye aliyeasisi mambo ya kutekana na kuua wakosoaji.
Na wameshamkamata. Baadae watasema alitumwa na CHADEMAUnajitoa ufahamu siyo? Wewe hujui kuwa hii ni kazi ya serikali na Muliro analijua hili na watakamata ''mhalifu'' wa uongo?
Tutegemee uongo wowote. Wanaweza pia kusema ni kisasi cha kutembea na mke wa mtu.Na wameshamkamata. Baadae watasema alitumwa na CHADEMA
Huwezi kumchafua mkatoliki kuwa anapata kilaji, kwao ni kama maji ya baraka.Kwa nini wamesema akiendelea kupata kinywaji??
Km anaishi abroad je? 😹Ila kama TCRA wakiamua kumsaka wanampata. Mbona Sukununu wa Twitter walimkamata na kumshitaki
We nawe na huyo jiwe si ukazikwe naye msituchoshe hapa..!!Inasikitisha sana, JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kitu ambacho una hofu nachoTutegemee uongo wowote. Wanaweza pia kusema ni kisasi cha kutembea na mke wa mtu.
Hatoguswa kabisaAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Anajua sema hizo mbinu za kuzuga wasomaji..!!Uandishi wa huyo mtu ni changamoto.
Uhani? Asahu? Nini hikii? Au alitaka kumaanisha nn?
Sina hofu yoyote ila nina knowledge na experience kubwa kuhusu reaction ya ma-dikteta kwa viongozi wa dini wanaowakosoa.Kitu ambacho una hofu nacho
We unajua kapigwa na nani huko bar alikokua anakunywa tangu saa moja hadi nne?Sina hofu yoyote ila nina knowledge na experience kubwa kuhusu reaction ya ma-dikteta kwa viongozi wa dini wanaowakosoa.
"Kutoka kwenye Group moja la wapenzi wa Arsenal Tanzania, nanukuuWanasema huyo Dr anajulikana
Alikuwa na mama yako.We unajua kapigwa na nani huko bar alikokua anakunywa tangu saa moja hadi nne?