Sijaona kosa lolote kwa huyo jamaa, labda ufafanue kisheriaAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Alikuwa anagombea barmaid na wateja, kumbe jamaa lilevi mbwaWe unajua kapigwa na nani huko bar alikokua anakunywa tangu saa moja hadi nne?
Unauliza kwa hiyo? Yaani wewe bwege huwezi kuunganisha dots?Kwa hiyo!?
Mgogoro wa kanisa huo utakuaMambo yale yale ya Zanzibar ya Miaka ile yamerudi tena?
Why not LissuHayo ni ma parody accounts sio watu halisi
Utashangaa linaendeshwa na mwenezi wa ccm😁
Walikuwa wanagombea barmaid na mteja mwingineKwa nini wamesema akiendelea kupata kinywaji??
Hilo halina ubishi, mwasisi wa kazi chafu ni Magufuli kuanzia mwaka 2017 alipomshambulia Lissu kwa risasi 16 akiwa bungeni, kuharibu uchaguzi wa S/ Mitaa wa 2019 na kuiba uchaguzi wote wa 2020 kisha kutujazia bunge la 99% CCM. Samia na watu wake wameazima ukurasa na wanapita humo humo,Basi tufanye samia hausiki magufuli ndiye amemshambulia fr kutuma🤣🤣🤣
Swadakta !!!Polisi ni wahusika wakuu, hawawezi kumkamatana
Nakubali magufuli ndio katuma watu wkamshambulie fr kitima 😁😁😁Hilo halina ubishi, mwasisi wa kazi chafu ni Magufuli kuanzia mwaka 2017 alipomshambulia Lissu kwa risasi 16 akiwa bungeni, kuharibu uchaguzi wa S/ Mitaa wa 2019 na kuiba uchaguzi wote wa 2020 kisha kutujazia bunge la 99% CCM. Samia na watu wake wameazima ukurasa na wanapita humo humo,
Kama utabisha hili, wahi Mirembe ukaonane na Daktari wa afya ya akili.
Mtoa mada kasema Muliro aanzie na huyo, hajasema kuwa huyo ndiye aliyempiga Fr Kitima. Soma upya madaSijaona kosa lolote kwa huyo jamaa, labda ufafanue kisheria
Si sahihi kumfundisha kazi MuliroMtoa mada kasema Muliro aanzie na huyo, hajasema kuwa huyo ndiye aliyempiga Fr Kitima. Soma upya mada
Humu vumbi linatimuka ihali kuna mvuaAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Kwa uwongo aliosema Muliro juu ya wanachadema waliovunjwa miguu na mikono na Polisi inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu jambazi Muliro.Tutegemee uongo wowote. Wanaweza pia kusema ni kisasi cha kutembea na mke wa mtu.
Duuh mbna hatarii hii. LolAnajua sema hizo mbinu za kuzuga wasomaji..!!
Ndiye muasisi.Inasikitisha sana, JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kunawatu wana haribu mambo makusudi.
Ametishia kifo kwa njia ya maandishiSijaona kosa lolote kwa huyo jamaa, labda ufafanue kisheria
Upo uwezekano mkubwa sana kwamba huyo Mtu ni Wakala wa Watu wasiojulikana, hakuna ubishi kwenye suala hili.Angalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
hilo tishio la FREY, mbona halifanani na hilo shambulio, key words alizotamka ni za ki-mamlaka "kufungwa jela na uhaini" inaweza isiwe na uhusiano na siasa, hawa mapadre wanaishi kama wananchi wa kawaida na wana mishe mishe za mtaani nyingi tu ambazo anaweza kujiingiza kwenye migogoro na watu wengineAngalia tweets zake hapa:-